Je?ni nani sio muaminifu katika ndoa hii.

Washawasha

JF-Expert Member
Aug 7, 2006
16,652
13,077
Mamboz wandugu,timbwili lilianza hivi,jamaa alikuwa amelala na mkewe chumbani kwao,mara mwanamke akaanza kupiga kelele huku akimuamsha mumewe
Mke:amka amka,kimbia fasta mume wangu anakuja
Mume naye bila kuchelewa akakurupuka na kutokea dirishani na kukimbia,lkn baada ya dk 5,mume akajiwa na akili kwamba pale alipokimbia ni nyumbani kwake na aliyekuwa amelala naye ni mke wake na c hawala yake,bac kwa uchovu akaamua kurudi nyumbani,na mke naye akakumbuka kwamba alikuwa anaota aliyemkimbiza ni mume wake na c hawala yake bac akawa anamsubiri mumewe arudi nyumbani.
JE?KATI YA HAWA WAWILI NI NANI C MUAMINIFU KTK HII NDOA.
JE?UNGEKUWA WEWE UNGEMFANYAJE MKE/MUME WAKO.
Nawasilisha
 
hawa wote wehu! Na kama ni mm ninaipotezea hyo akiniuliza 2uu ndo tatzo ninapoanzia
 
duuh, hapo ni soo, ila nahis kama mwanamke ndo mwaminifu coz Kaanza kuota mapema.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom