Naomba kuuliza ni kiongozi gani alitia saini mikataba ya ujenzi wa reli ya kati na ule wa ununuzi wa mabehewa na mashuhuda walikuwa kinanani? je hakukufanyika sherehe wakati wautiaji wasaini wa mikataba hiyo. Haya maswali yakijibiwa vizuri yatasaidia uchunguzi katika sakata la ujenzi wa reli ya kati; ni vyema taasisi zinazofanya uchunguzi ziwatafute waliingia mikataba kwa kutia saini na mashuhuda wao kuraharakisha kasi ya uchunguzi na utumbuaji majipu. aidha ikionekana hata mwanasiasa alihusika kwa namna moja ama nyingine naye atumbuliwe tu jipu not only watumishi wa umma.
Hivi ni kweli Mwanasheria Mkuu wa Serikali hakuhusika katika kutoa ushaur uliochafua hali ya hewa? ni vyema na yeye atumbuliwe jipu kama Mkurugenzi
Hivi ni kweli Mwanasheria Mkuu wa Serikali hakuhusika katika kutoa ushaur uliochafua hali ya hewa? ni vyema na yeye atumbuliwe jipu kama Mkurugenzi