alexis jr
JF-Expert Member
- Sep 28, 2014
- 393
- 343
_*"Huu utaratibu wa kuwateua wasomi tu ambao ni walimu na wanataaluma kutoka vyuo vikuu hasa Chuo kikuu cha Dar es salaam si mzuri maana rais haoneshi kuwaandaa wengine kuchukua nafasi zao, tuachwe wasomi tufanye kazi za kitafiti na kitaaluma"*_
- Prof. Kitila Mkumbo. ITV 2016/4/17
Coped by Mrutu
- Prof. Kitila Mkumbo. ITV 2016/4/17
Coped by Mrutu