Je, Ni mke yupi atayaweza haya?

Je, Ni mke yupi atayaweza haya?

Ni mwanamke gani wa leo atamfanyia mumewe hayo yote????? ni rahic zaid kuwa bilionea kuliko kumpata mke wa aina hiyo (labda Mungu akutunuku)...hlf kingine mwanamke wa leo anachotafuta kwenye uhusiano wa kimapenzi ni hela, au connection, hakuna kingine Vivac
 
hayo yote yanawezekana kama huyu mume ni responsible.....ila wakwepa majukumu wasahau
 
Kama Eva original toka mikononi mwa Mungu aliboronga je? Katika miisho hii unapomsaka mke mwema, huu si uwendawazimu kabisa, jamani?
 
Yote hayo yanawezeka na hasa kulingana na mume atakavyokua.

Ila mume ukiwa bandidu jua una nafasi ya kubadili mazingira mkeo kugeuza njia.
 
Uncleben huko kwenu naona akina mama yeyoo wako vizuri sana, kila wakipewa maagizo na waume zao wanaitikia...eeeeeeeeh hawawezagi kupinga
evelyn salt anaweza karibu yote isipokua moja tuu
 
Wanaume msikimbilie kulaumu wanawake kwamba kwa nini wamebadilika.Ninyi mmetufanya tubadilike kabisaa.sasa hayo yote yanatakiwa yafanywe pale mwanaume anapompenda mke wake na kujua thamani ya mwanamke.wanaume wa Siku hizi mtalalamika sana kwanza hamjui wajibu wenu.wajibika utaona mwanamke alivyo.mwanamke ni mvumilivu sana lkn aligeuza shingo yake ni mtu mbaya sana.jitahidini kuishi na wake zenu kwa akili sio kila siku kulalamika.
Katika dunia ya sasa kuna vita vikubwa sana kati ya wanaume na wanawake tena vita baridi.tumebaki kulaumiana tu.Mungu atusaidie wanawake kujishusha na wanaume kuwapenda wake zao.
 
Uncleben huko kwenu naona akina mama yeyoo wako vizuri sana, kila wakipewa maagizo na waume zao wanaitikia...eeeeeeeeh hawawezagi kupinga
Aisee namshukuru Mungu kiasi fulani hawa mama yeyoo wetu bado wana heshima sana kwa wanaume zao
 
Sidhani kama umevuta/,utavuta hiyo mama yeyoo, mkiingia town mnawasahau
 
Duu its hard to be a woman
Sorry ningeomba muweke na majukumu ya wanaume ukiacha suala la hela(Maana tunatafuta woth both gender) hayo tu ntashukuru mleta mada
 
Hilo la usawa unalotaka ndio linafanya asiwepo mke wa dzain hiyo kwa sasa
 
TatiZo wanaume mnataka muabudiwe kama Mungu ilhali nyie ni binadamu
Pia mnavutia upande wenu tuu bila kuangalia upande wa pili
Swali langu:hivyo vyote hapo juu mnataka mfanyiwe je nyie wanaume mtawafanyia nn wake zenu muwe na ndoa imara!(sorry kwa mwandiko natumia cm)
 
Wanaume msikimbilie kulaumu wanawake kwamba kwa nini wamebadilika.Ninyi mmetufanya tubadilike kabisaa.sasa hayo yote yanatakiwa yafanywe pale mwanaume anapompenda mke wake na kujua thamani ya mwanamke.wanaume wa Siku hizi mtalalamika sana kwanza hamjui wajibu wenu.wajibika utaona mwanamke alivyo.mwanamke ni mvumilivu sana lkn aligeuza shingo yake ni mtu mbaya sana.jitahidini kuishi na wake zenu kwa akili sio kila siku kulalamika.
Katika dunia ya sasa kuna vita vikubwa sana kati ya wanaume na wanawake tena vita baridi.tumebaki kulaumiana tu.Mungu atusaidie wanawake kujishusha na wanaume kuwapenda wake zao.
Tunawapenda sana wadada ila ukishapenda sana wanakupanda kichwani
 
Ni mwanamke gani wa leo atamfanyia mumewe hayo yote????? ni rahic zaid kuwa bilionea kuliko kumpata mke wa aina hiyo (labda Mungu akutunuku)...hlf kingine mwanamke wa leo anachotafuta kwenye uhusiano wa kimapenzi ni hela, au connection, hakuna kingine Vivac
Duuuuh, bas c wote.
Mie cwez kuish na mtu kama champenda eti kisa cash. Napenda niishi kwa amani ya moyo na Si amani iletwayo na vitu.
 
Back
Top Bottom