Je, ni mapenzi au ana lake jambo?

Je, ni mapenzi au ana lake jambo?

Umeeleza historia tu hapo. Unataka wakubwa tukushauri nini? kama kuachana mmeachana na kama ku-move on ume-move on sasa unataka nini kutoka kwa sisi wakubwa na wazoefu?
Asante kwa kuniwahi kwa hilo swari, dogo keshamove on alafu bado anajawa na maswali kuhusu mabaki ya nyuma haha.
Kama anatemaga shombo huyo mwanamke yeye wanini kujiuliza maswali kama ni mapenzi ama uchawi?
 
One more mistake

Don't try this at home

Move on ukiona demu mlishaachana akakutafuta tena inakuwaga wengi mambo yao yamekwama

Akili mtu wangu [emoji848]
Kweli kabsa, linakuwa limeishakwama huko linabaki kutangatanga
 
Sijaona moyo mgumu wa mtoa mada..au nishaanza kuzeeka?inawezkanaje ume move on na mambo yakp huku una namba zake na bdo mnawasiliana...wewe ndo unaeumia kumzidi sema unataka kutuaminisha uongo.. Na kwa maono yangu naona umekuja kutafuta legality ya kumrudia huyo unaemuita eksi..
 
Mbona inaonekana kua wewe ndio unaumia juu yake? mpaka unajua kua vijana wanapishana kumuwania? unajifanya eti una moyo mgumu kumbe huna lolote,nyie vivulani mmezidi kutujazia server za JF kwa vithd vya kifala,

Unataka ushauri gani na umesha sema kua mlisha achana na kila mtu ame move on? after 5 years ila bado huja move on!
Mkuu kwan server za JF zikijaa wewe ni platmum member utapitishiwa changizo au?
 
Tuliachana mwezi January mwaka 2018, kila mtu aka-move on na yakwake, binafsi niliumia sababu nilimpenda kweli na yeye alinipenda ila kama unavyojua sababu tu za kiufundi za hapa na pale zikatutenganisha.

Nikiri tu kuwa shinikizo kubwa la mimi na yeye kuachana ilikua ni rafiki zake. Rafiki zake walichangia pakubwa sana sisi kuachana na haikuishia hapo wakamjaza maneno akawa anatema shombo sana juu yangu, kama mwanaume wala siku-react, nikaona ni mambo ya kawaida tu yatapita.

As people say, time heals everything, with time I started getting better and I reached a point where I completely forgotten about her. Lakini pamoja na kuwa tulisha-move on karibia miaka 5 nyuma, yeye bado anaonyesha wivu sana juu yangu.

Bado anaonekana kuumia sana anionapo na mwanamke mwingine, na inapowezekana atatumia njia yeyote hata ya kusambaza sumu ili ahakikishe tumeachana, kuna muda tulikua tuki-chat Ile kishkaji tu ila through her conversations unaona kabisa kuna kitu ana push.

Kuhusu kimuonekano nisiwe muongo ni binti mzuri sana, ambaye almost kila mwanaume angependa kuwa naye, na ninawaona vijana wanavyopishana kwake. Ila ndo hivyo tu, sisi wengine tumejaaliwa mioyo migumu hatupelekeshwi na wanawake, ukileta miyeyusho unapita kushoto.

Basi ndo hivyo wakuu, najua humu kuna wakubwa zangu wenye experience kubwa kwenye hii sekta, naombeni ufafanuzi au ushauri wenu. He haya ni mapenzi au mchawi tu?

Naombeni kuwasilisha
Ushaanza kubabaishwa nae hapo..
Wewe umeshamua kusepa salamu sijui ushkaji mara kuona kama ndo nini tena..
Mind your businness brother..
 
Picha
 
Siwezi kufanya kosa la namna hiyo nipo makini sana.
 
Umempa attention kwahiyo lazima ahisi unampenda, ukimkaushia kila anapotuma sms jibu atalipata kuwa humuhitaji na utamsaidia yeye ku mvoe on kiukweli na wewe ku move on pia
Inawezekana upo sahihi mkuu, kinachofuata mikausho tu.
 
Ipo hivi huenda anataka kurudi kwasababu kweli kaumizwa na amejua thamani yako, anaweza akarudi kwako akatulia kabisa.
Sema shida inakujaga hapa wanaume kusahau ni changamoto, hivyo ugomvi utakuwa ni wa mara kwa mara , in short wewe ndio utapata shida kusihi naye kwasababu imani kwake huna, utahis mda wowote anaweza zingua tena.

Kuna sababu wanaitwaga ex, as long as amepita hata kama unamtamani vipi achana naye, mwisho wake huwa mbaya.
Futa mawasiliano sio kwa nia mbaya ila ili asiwepo akilini mwako na wewe usiwepo akilini mwake.
Umepita mule mule mkuu, kuna rafiki yake mmoja wa karibu amewahi kuniambia kwamba yule demi bado ananipenda ila ni vishawishi tu vya rafiki zake.
Ila kurudiana nae hapana, sio kwa dharau zile.
 
Wewe ndio umempa nafasi ya yeye kukufuatilia,ungempotezea toka mwanzo asingekufuatilia,inaonekana una enjoy sana kuona anakufuatilia But kua muanfalifu sana.
Mkuu, hakuna nafasi yeyote niliyompa ya kunifuatilia, maana kuna kipindi ilipita zaidi ya mwaka bila kuonana na bila mawasiliano mpaka nilishaga msahau kabisa ila out of nowhere nashangaa mtu anani-text Whatsapp kuuliza nani kumbe ni yeye, namba zangu anapata kwa washkaji zangu wa karibu.
 
Hutofautiani sana na kaka yangu mkubwa ninayefuatana naye kwa kuzaliwa. Huwa anahangaika sana uachana na chuda pindi wanapoachana matokeo yake anaonekana anakua miaka tu (umri) akili ipo palepale.

Ukishaachana na mwanamke futilia mbali kila kitu kisha songa mbele na yule uliyenaye kwa wakati huo inatosha.

Kua brother, miaka hairudi nyuma inasonga mbele
Hii story nimeifupisha sana, inawezekana kama ningeileta kwa urefu wake ninge epuka hizi tuhuma za kuonekana namfuatilia.

Mkuu huyu demu nimempotezea vilivyo na hata kubadilisha namba mara kadhaa ila namba zangu anapata kwa washkaji zangu wa karibu, amekua na wivu na mimi mno japokua tumeachana kitambo mpaka kuna muda naogopa ndio maana nikaleta huu uzi kuuliza je ni mapenzi au ana lake.
 
Back
Top Bottom