sky soldier
JF-Expert Member
- Mar 30, 2020
- 5,408
- 19,034
Sasa clouds fm si redio ya juzi tuDuh umenikumbusha mbali sana. Tumeharibu sana kaseti za mzee kisa kurekodi bongo fleva clouds fm baada ya kipindi cha michezo
Juzi ni lini bro? Taja mwaka imeanzishwa.Sasa clouds fm si redio ya juzi tu
Kwani ikiwa ya juzi haiwezi kuzungumziwa? Halafu hata hiyo 1980 unayoona ni kitambo, wale wazee wa vita vya kagera wanaona ni juzi tu. Juzi jana na leo inategemea na umriSasa clouds fm si redio ya juzi tu
If I'm not mistaken, clouds ina more than 20 years now. Imeanzishwa 1998. Kama ni demu ndio hawa wanaotutaka kutuma na ya kutolea.Kwani ikiwa ya juzi haiwezi kuzungumziwa? Halafu hata hiyo 1980 unayoona ni kitambo, wale wazee wa vita vya kagera wanaona ni juzi tu. Juzi jana na leo inategemea na umri
Ni kweli. Kwanza kitendo tu cha kutumia redio kaseti maana yake wewe ni muhenga maana cd zimeshika kasi hadi vijijini kuanzia 2005 huko.If I'm not mistaken, clouds ina more than 20 years now. Imeanzishwa 1998. Kama ni demu ndio hawa wanaotutaka kutuma na ya kutolea.
98.. mtoa uzi anazungumzia miaka ya 80 hukoJuzi ni lini bro? Taja mwaka imeanzishwa.
Labda utueleweshe kuanzia miaka ya 1980 hadi 1990 unaelewaje kama alivyoainisha mleta mada.98.. mtoa uzi anazungumzia miaka ya 80 huko
Kasome tena alichoandika mleta uzi bro98.. mtoa uzi anazungumzia miaka ya 80 huko
Nakubali mwambaNi kweli. Kwanza kitendo tu cha kutumia redio kaseti maana yake wewe ni muhenga maana cd zimeshika kasi hadi vijijini kuanzia 2005 huko.
Nimesoma na nimeelewa vizuri hii alama - inamaana kubwa sanaKasome tena alichoandika mleta uzi bro
Isije kuwa namuelewesha kijana mwenye umri sawa na clouds fm. Wahenga tushaelewa mleta mada nini anamaanishaNimesoma na nimeelewa vizuri hii alama - inamaana kubwa sana
80-90
Mhenga kwa kusikiliza clouds ya mwaka 98?? AiseeeeIsije kuwa namuelewesha kijana mwenye umri sawa na clouds fm. Wahenga tushaelewa mleta mada nini anamaanisha