Je ni maeneo gani hapa dar yanafaa kulima nyanya? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Je ni maeneo gani hapa dar yanafaa kulima nyanya?

Discussion in 'Biashara, Uchumi na Ujasiriamali' started by Chuck j, Oct 26, 2011.

 1. C

  Chuck j JF-Expert Member

  #1
  Oct 26, 2011
  Joined: Jun 17, 2011
  Messages: 1,277
  Likes Received: 105
  Trophy Points: 160
  Washika dau,nimaeneo yapi yanafaa kwa kulima nyanya,nataka kulima heka moja ya nyanya,anaejua pls.je heka 1 unapata kiasi gani?
   
Loading...