Kuna wengi wanashindwa kuoa kwa sababu ya hiiSio lazima ila nilazima , inategemea na makubaliano yenu kwenye jamii husika
Kwa x wife wangu sikudaiwa mahari ila hata kabla ya kuoa zilinichomoka zaidi ya milioni 10Kuna wengi wanashindwa kuoa kwa sababu ya hii
🤣🤣🤣😢Hakuna mwanamke wa bure
X sai Yuko wapiKwa x wife wangu sikudaiwa mahari ila hata kabla ya kuoa zilinichomoka zaidi ya milioni 10
Tushaachana kaolewa pia kwa ndoa tena baada ya mimi kuvunja yetu kwa makubaliano🤣🤣🤣😢
X sai Yuko wapi
Utoe usitoe kuchapiwa kupo pale pale ni itokee tu bahati upate mwanamke anaejielewa na anaeweza kuepuka vishawishi. Nothing can stop a woman from cheating except herselfWhen the deal is too good think twice. Usipotoa mahari utatombewa mwanamke hadi useme kuoa ni dhambi. Jitahidi utoe hata nusu ya mahari upate japo kaheshma kadogo. Le me put it clear here... Usipotoa mahari yeye ndo atakua spy kwako kutoka kwao. Kila utakacho kuwa unakifanya lazma kwao wajue na mwisho wa cku watakuchana live hadi ushangae kuwa ulioa mwanamke au cctv. Try your best. NIMECOMENT AT MY OWN RISK.
Hakika , na ukijifanya unavimba ukweni kama mimi kipindi hicho lazima uvimbiwe🤣Mahari ni kama zawadi kwa wazazi wa mwanamke kulingana na tamaduni zetu, maana tamaduni zingine mf. India wanawake ndio wanatolea wanaume mahari.
Changamoto imekuja pale wazazi wanapofanya mahari kama sehemu ya kujitoa kwenye umaskini wao, sasa kwa nyakati hizi mahari mil5 kweli! huo si mtaji kabisa
Ulazima upo kimsingi maana ni tamaduni, ni ngumu kuikwepa itachukua muda sana.
Kwani ukioa kwa mahari ndio hawatamuweka? Watu wanatumia 50m kwenye mhari na sherehe kali na kesho anawekwa kama kawaida.When the deal is too good think twice. Usipotoa mahari utatombewa mwanamke hadi useme kuoa ni dhambi. Jitahidi utoe hata nusu ya mahari upate japo kaheshma kadogo. Le me put it clear here... Usipotoa mahari yeye ndo atakua spy kwako kutoka kwao. Kila utakacho kuwa unakifanya lazma kwao wajue na mwisho wa cku watakuchana live hadi ushangae kuwa ulioa mwanamke au cctv. Try your best. NIMECOMENT AT MY OWN RISK.
Uchagani hakuna mahari ila lazima pombe za kama mil 10 zikutokeKwani ukioa kwa mahari ndio hawatamuweka? Watu wanatumia 50m kwenye mhari na sherehe kali na kesho anawekwa kama kawaida.
Kwanza tumeoa wanawake waliochapika huko nonstop.
Mbona walichukua za kwangu? Tena za kutosha kabisa kufungua kabiashara ka maji na juice😅Uchagani hakuna mahari ila lazima pombe za kama mil 10 zikutoke
Kitenge cha babu na koti la shangazi 🤣🤣 wewe ulioa wapi bwashee🤣Mbona walichukua za kwangu? Tena za kutosha kabisa kufungua kabiashara ka maji na juice😅
Huko kwenu mangiii 😅😅Kitenge cha babu na koti la shangazi 🤣🤣 wewe ulioa wapi bwashee🤣
Kwetu kibosho , kule hatucheki na kima kuna mhaya mmoja alikuja chukua pacha yangu na masifa yake , mbona mpaka leo kaweka heshima🤣🤣Huko kwenu mangiii 😅😅
Ni lazima na usitafute SABABU kama unatako oa fata taratibu zilizozoeleka toa maana ina maana yake kwao hutaki tafuta atakaye kutolea mahari.Je ni lazima msichana kutolewa mahari???