- Thread starter
- #21
Kama cheti hakijatoka ni muhimu kwa verification hasa vya form 6 ndo vinakua havijatoka ila form 4 ni lazima cheti
better 4 u,mie cna cha form 6,je naweza kwenda na cha form 4?
Kama cheti hakijatoka ni muhimu kwa verification hasa vya form 6 ndo vinakua havijatoka ila form 4 ni lazima cheti
Dah, jf hamuishiwi mambo na vijambo kwan umenichekesha kweli!
Na hapo anaenda kusoma degree, Hakyanani darasa langu la nane linanifaa sana
haya bwanah nimekoxea strudrizanuitution...ila kama cna ya form 6,hata chet cha form iv ni muhimu?
Huyu msomi kanistua ujue...[/QUOTE
hey,according to petersbrug ,he said"not always educated man can speak or right correctly but most of what he does may be correct!
Ni lazima mkuu,nazungumzia uzoefu wa chuo nliposoma(UDSM)
Nadhani tunarudi nyuma badala ya kwenda mbele. Ukifuatilia uandishi wa siku hizi, sio tu hapa JF, inakatisha tamaa. Matatizo mengine yangeweza kurekebishwa kama Elimu ya Awali ingeendeshwa kwa umakini na Wazazi wangesaidia kusimamia maendeleo ya watoto. Ni janga linalokuja huko mbele!
MULUGO product msimshangae sana jaman kwan sio kosa lake labda naye kafundishwa hivyo...
yeah matokeo ya ulalaji wako muhimu sana, wanaogopa wasije wakasajili wanga vyuon mwao
kaka hapa tunasema elimu ya Tz haijashuka yan imeporomoka kabisa
ha ha ha ha Jf hakuna siku ambayo sicheki..
Chuoni wanataka "result slip" hiyo ulioitaja wewe iache nyumbani.
Result sleep? Yan usingiz wa matokeo au?
Result sleep? Yan usingiz wa matokeo au? Unayambia matokeo yalale?
usijifanye hujaelewa we binadamu
hey Mulugo is a teacher as the one who tought me and you"..qn.havn't u ever done any mistake?
Je ni lazma kurpot na result sleep hata kama hujaambiwa kuenda nayo chuoni?
hey Mulugo is a teacher as the one who tought me and you"..qn.havn't u ever done any mistake?