Chuoni wanataka "result slip" hiyo ulioitaja wewe iache nyumbani.Je ni lazma kurpot na result sleep hata kama hujaambiwa kuenda nayo chuoni?
Chuoni wanataka "result slip" hiyo ulioitaja wewe iache nyumbani.
Je ni lazma kurpot na result sleep hata kama hujaambiwa kuenda nayo chuoni?
Chuoni wanataka "result slip" hiyo ulioitaja wewe iache nyumbani.
tehtehteh!! umemshika hata kupumua kashindwa!!
Dah, jf hamuishiwi mambo na vijambo kwan umenichekesha kweli!
Ni lazima mkuu,nazungumzia uzoefu wa chuo nliposoma(UDSM)Je ni lazma kurpot na result sleep hata lpkama hujaambiwa kuenda nayo chuoni?
Na hapo anaenda kusoma degree, Hakyanani darasa langu la nane linanifaa sana
Na hapo anaenda kusoma degree, Hakyanani darasa langu la nane linanifaa sana
Je ni lazma kurpot na result sleep hata kama hujaambiwa kuenda nayo chuoni?
Nadhani tunarudi nyuma badala ya kwenda mbele. Ukifuatilia uandishi wa siku hizi, sio tu hapa JF, inakatisha tamaa. Matatizo mengine yangeweza kurekebishwa kama Elimu ya Awali ingeendeshwa kwa umakini na Wazazi wangesaidia kusimamia maendeleo ya watoto. Ni janga linalokuja huko mbele!
ha ha ha ha Jf hakuna siku ambayo sicheki..yeah matokeo ya ulalaji wako muhimu sana, wanaogopa wasije wakasajili wanga vyuon mwao
Result sleep? Yan usingiz wa matokeo au? Unayambia matokeo yalale?
Chuoni wanataka "result slip" hiyo ulioitaja wewe iache nyumbani.
tehtehteh!! umemshika hata kupumua kashindwa!!