Wakuu,
Umaarufu gani JF ilikuwa nao mwanzoni? give us few key points ili sisi tulioingia karibuni tuwe aware of - in case we need to bring back those values ikibidi.
Remember - Kitu chochote kinacho expand huwa lazima kiwe na challenges - sasa usitegemee jamii forum ya 2006 iwe sawa na hii ya 2010. Kila members wapya wanavyozidi kujiunga pia kunakuwa na vitu mchanganyiko - Thread za busara zinakuwepo na upupu pia lazima uwepo as part of JF na ukuwaji wake.