Watanzani weng ss tunategemea kusikia ili kufanya maamuz hv vitu yy alikuwa wapi ma kiliamuliwa wapi mbona maamuz ya sifa yanatawala ktk mambo makini kama uongoz unaona kuna tatizo wa review upya kwa umakini na wadau sio kufanya kana kwama mchi hii ilikuwa haina uongozi kabisa miaka ya nyuma