Je ni kweli?

bro kay

JF-Expert Member
Sep 5, 2016
254
222
Habari wana jamvini,

Je ni kweli mama mwenye virus vya ukimwi akijifungua mtoto mchanga haruhusiwi kumnyonyesha huyo mtoto mchanga?
 
hapana, ila kutomnyonyesha inasaidie asimuambukize virus mtoto pale mtoto atapobahatika kuzaliwa bila virusi hao.
 
Ukimwi?
Sio sana!

Labda ZIKA

Hapo hata kuzaa haruhusiwi

Asante (Mungu?) kwa UKIMWI, Maana Zika ni habari nyingine


Mama amnyonyeshe mtoto hadi pale anapoona ngozi au mapengo ya mtoto yamekomaa kiasi cha kuweza kuleta michubuko kwenye chuchu hata kama ni midogo.
 
Back
Top Bottom