Chizi Maarifa
JF-Expert Member
- Jul 29, 2013
- 13,716
- 30,069
Inatusaidia nini sisi? Haya kiko wapi? Na kama Simba wangeshindwa sisi tungefaidika na nini? Hizi ni roho za kichawi tu. Viongozi badilikeni acheni huu upumbavu.
Mwishoni wote tunaonekana tu vilaza.
Mwishoni wote tunaonekana tu vilaza.
, kuwaingiza mkenge hao wageni wakiamini wamepata rafiki kumbe ni tego...