stephanoadolph
Senior Member
- Jun 22, 2016
- 100
- 76
Hivo ndio walivoagizwa maafisa elimu na watendaji wote dodoma walivoenda kwenye vikao
Kichwa cha habari kimekaa kiupotoshaji.... First degree wanaruhusiwa kusoma kwa kuchukua likizo isiyokua na mshahara ni sheria iliyopo Tanzania nafurahia kuona inatekelezwa maana hawa inservice wanaendekeza sana bata vyuoni kumbe sababu ni mshahara wa bure unaingia..... safari hii mjipange.
Yap, wewe ndo uko sahihiKichwa cha habari kimekaa kiupotoshaji.... First degree wanaruhusiwa kusoma kwa kuchukua likizo isiyokua na mshahara ni sheria iliyopo Tanzania nafurahia kuona inatekelezwa maana hawa inservice wanaendekeza sana bata vyuoni kumbe sababu ni mshahara wa bure unaingia..... safari hii mjipange.
Mshahara unatoka serikalini,boom linatoka serikalini...kama ela zinafujwa serikalini...kusuffer kupo tu..mojawapo ni wategemea boom...haina haja ya kuumizwa kichwa angalia...rate ya utoaji wa mkopo kwa mwaka 2014/2015 ilivyotofauti na 2015/2016 .... watu walisuffer sana 2014/2015 kutokana na ufujaji pesa za serikali.....tumia muda wako vizuri kujipanga sio kutegemea vya bure bure tu.....ukisoma kwani faida ya nani?Kukosa kwako boom haihusiani na mshahara wa mtu ndugu, mshahara wake matumizi yake
Kutoka serikalini ndio upangiwe matumizi ya huo mshahara? We muombe Mungu wako upate boom wenye mishahara yao hiyo waache waitumie watakavyo ni YAO SIO YENUMshahara unatoka serikalini,boom linatoka serikalini...kama ela zinafujwa serikalini...kusuffer kupo tu..mojawapo ni wategemea boom...haina haja ya kuumizwa kichwa angalia...rate ya utoaji wa mkopo kwa mwaka 2014/2015 ilivyotofauti na 2015/2016 .... watu walisuffer sana 2014/2015 kutokana na ufujaji pesa za serikali.....tumia muda wako vizuri kujipanga sio kutegemea vya bure bure tu.....ukisoma kwani faida ya nani?
Kutoka serikalini ndio upangiwe matumizi ya huo mshahara? We muombe Mungu wako upate boom wenye mishahara yao hiyo waache waitumie watakavyo ni YAO SIO YENU