Je, ni kweli watanzania hatujitambui?

Je, ni kweli watanzania hatujitambui?

ulewi

Member
Joined
Feb 22, 2014
Posts
9
Reaction score
2
Nchi hii kumekuwa na desturi ya Wakubwa, au wanaojiona kama wenye nchi kutuchagulia viongozi, na sisi wenye nchi halali tukiburuzwa!

Tulisikia Arumeru Mash. walituchagulia Siyoi, tukamkataa, Kalenga wametuchagulia tena Mgimwa Jr, heeh, tumesikia tena Chalinze wametuwekea Mrisho Jr, Je ni kweli hatujitambui kiasi hicho?
 
Back
Top Bottom