Matingi litikiti
Member
- Apr 26, 2016
- 64
- 25
Leo katika mada moto ya wana JF ni kuhusu utenguzi wa Dr. Julieth Kairuki kutochukua mshahara wake toka alipoajiriwa April 2013 nitakeibani miezi 33 sasa, sasa je kuhusu uamuzi huu wa Bwana mkubwa ni wa kukurupuka kama alivyofanya wakati yuko Waziri wa Uvuvi na kutusababishia hasara ambayo tuliwalipa wachina mabilioni ya pesa na hii itakuwa kama ilivyotokea juzi juzi hapa? "Naombeni kuwaachia mada moto hapa tujadili kwa pamoja"