Basi tuseme wanawake hatupendani na wanaume hamtupendi. Au wanaume wote wanampenda mama ???Kwa experience yangu kwa asilimia kubwa wanawake hawapendani. Mfano dhahiri ni huku mtaani wanaoongoza kumchukia mama ni wao. Sijasema mama gani.
Huo ni mfano mdogo sana, nikiwa chuo niliwahi ishi nyumba moja na mabinti wawili, waliishi pamoja from 1st year mpaka wakamaliza, na ndio wadada pekee waliowahi ishi pamoja mda mrefu. Waliwahi kukiri kuwa wanawake wengi hawapendani ndio maana hata kuishi pamoja wengi hawawezi.Basi tuseme wanawake hatupendani na wanaume hamtupendi. Au wanaume wote wanampenda mama ???
Naskiaga eti hawapendani. Kwani wanawake wenyewe wanasemajeTangu ninakua nimekuwa nikisikia kauli za wanawake hawapendani, adui wa mwanamke ni mwanamke mwenzie, je, ni kweli wanawake hawapendani au ni nadharia tu ilitengenezwa kuwagawa wanawake wasiaminiane kuwa hakuna anayempenda mwingine?
Nauliza hivi kwa kuwa msemo huo umekuwa ukisikika zaidi kusemwa na sisi wanaume japo wapo na wanawake wamekuwa wakisema ila huwa inatokea pale wanapokwazana kitu ambacho napata mashaka kwa kuwa kukwazana hutokea pande zote, kwa nini ihusishwe na wao kutokupendana?
Je, kisaikolojia ni kweli hawapendani? Jamiicheck naombeni mtusaidie katika hili, ukweli ni upi?
Hata huyo mama ako ni mpumbavu kwa mwinginee.Ukiondoa mama aliyenizaa hawa viumbe ni wapumbavu sana yaani wanaweza wakununiana kisa wigi la mwenzake OG.Sasa najiuliza wigi linakuwa vipi OG.
Hiki kingereza umekitoa wapi😂Watapinga ukweli huwa ni mchungu sana, kwanini Ke huwa hawaaminiani urafiki kwa Ke wenziye zaidi ya Me?
Ubinadamu ni kazi/Humanity is a work.
hawakuwa mume na mke hao?Huo ni mfano mdogo sana, nikiwa chuo niliwahi ishi nyumba moja na mabinti wawili, waliishi pamoja from 1st year mpaka wakamaliza, na ndio wadada pekee waliowahi ishi pamoja mda mrefu. Waliwahi kukiri kuwa wanawake wengi hawapendani ndio maana hata kuishi pamoja wengi hawawezi.
Bado kuna wale wa kujirahisisha kwa mwanaume alale nae kwa sababu tu hampendi mkewe 😐
Huko ukweni wanaoongoza vita ni wanawake, mke na mama mkwe hawapendani tena hii ipo sana wengine hadi kufikia hatua ya kutamani kusitisha uhai wa mwingine.
Maofisini mtanisaidia.
Kuvunjika kwa urafiki na kusutanaSio kweli, kitu gani wanawake tumefanyiana kuprove hatupendani?
Lame.........Worse than kuuana, kufanyiana ujambazi, kusnichiana? Maana wanaume mnafanyiana haya sana, hii inawafanya muonekane, mnapendana? Kama na nyie hampendani mbona hakuna kampeni ya misemo ya "wanaume hampendani" ? Why? Think and for reference soma comment ya Atoto na wengineo.Kuvunjika kwa urafiki na kusutana
Sisi hatununiani, ukizichapa ukadundwa mnaenda kukaa meza moja badoLame.........Worse than kuuana, kufanyiana ujambazi, kusnichiana? Maana wanaume mnafanyiana haya sana, hii inawafanya muonekane, mnapendana? Kama na nyie hampendani mbona hakuna kampeni ya misemo ya "wanaume hampendani" ? Why? Think and for reference soma comment ya Atoto na wengineo.
Ukitaka kuwatawala vizuri, wagawe......
Hivi kwanini haya madini msiyaanzishie nyuzi mnakuja kuyaficha huku kwenye comments ambako wanaosoma ni wachacheMimi nafikiri dhana hii ililetwa na wanaume pamoja na mfumo dume katika kumdumaza mwanamke katika jamii, ili kuwafanya wanawake wawe katika ushindani na kuondoa ushindani kwa wanaume.
Pia kuondoa dhana ya ubaguzi wa kijinsia wa wanaume dhidi ya wanawake na ionekane kwamba wanawake ni wapinzani badala ya washirika katika jamii.
Hivyo wakafanikiwa kusambaza hii dhana potofu ambapo maranyingi, taarifa na dhana za uwongo zinaweza kuenea katika jamii na kusababisha imani potofu kujengeka na kuwa sehemu ya maisha ya wanajamii.
Dota love nakuona🤣🤣Hivi kwanini haya madini msiyaanzishie nyuzi mnakuja kuyaficha huku kwenye comments ambako wanaosoma ni wachache
endeleeni kumfariji mama mtapata majibu soonSio kweli, kitu gani wanawake tumefanyiana kuprove hatupendani?