Je, ni kweli wanaume wote wanamichepuko?

Haya mambo sio ya kuyafuatilia sana, unaweza ongea mwenyewe kisa mapenzi, we amini uko mwenyewe basiii!
 
Kama kila mwanaume atakua mwaminifu kwa mwanamke mmoja, wengi watakosa wanaume , hivyo kwa mwanaume kua na mchepuko ni namna tu ya kuwasaidia wanawake ili naona pia waonje ladha ya tunda.kwa sisi wengine tumeruhusiwa hadi wanne kwa raha zetu.
 
Reactions: irk
Mwanaume halisi lazima awe hvyo,tofauti na hapo atakuwa na tatizo au anakandamiza nafsi sana?anakula kwa macho sana
 
As long as anakupa haki yako na anafanya mchepuko kwa siri Ni urijali wake....
 
Wacha atoswe na Tabia zake mbaya mjaa laana huyo.no wonder hajabarikiwa nafac tena. Wanawake wengine nuksi tu wanaume kujitakia
Ni kweli
Maana wanawake wa siku hizi mnadharau sana
Acha tukaliwazwe na michepuko yetu

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…