Je, ni kweli wanaume wote wanamichepuko?

Baby k

JF-Expert Member
Joined
Jan 2, 2013
Posts
320
Reaction score
125
Salam wakubwa,

Hakika siku ya Leo imekuwa mbaya sana kwangu. Mpaka sasa ninamawazo sana. Leo nilipokuwa kibaruani tulikuwa tukipiga story me na ke tukibadilishana mawazo. Kwa kifupi story zilihusu uaminifu. Wanaume wote walisema kila mwanaume anamchepuko imeniuma sana.
 
Take it easy mdada! Dunia hii bado inawatu waaminifu na hilo halina ubishi!! Mwamini uliyenaye na maisha yaendelee!! Maneno ya coworkers wako siyo unabii!!
 
Ni kweli. Wewe kama huna mchepuko mumeo/mchumba wako anaye.

Sasa ili kufanya ngoma draw nawe kuwa mchepuko wangu!
 
Siyo kweli mm.
mbona sina mchepuko?
 
Ni kweli
Maana wanawake wa siku hizi mnadharau sana
Acha tukaliwazwe na michepuko yetu

Hii picha imenikumbusha tukio moja nalolijua kabisa,tena mtu mkubwa na anayejulikana na alishawahi kushika cheo kikubwa ktk chama dola

Alikuwa akienda nyumba ndogo huyo mdada anampa ma-care km yanayoonekana hapo kwenye picha (anavuliwa viatu,anachemshiwa maji ya kuoga na kupelekewa bafuni had kuogeshwa,msosi anaandaliwa n.k)

Kiukweli jamaa ilibidi alasimishe ule mchepuko,ss hv wamezaa watt na nyumba kajengewa na mabiashara juu hadi alipewa political channel sema ndio hvyo wananchi walimtosa uchaguz wa 2015
 
Hiyo moja ya mistari ya wavunja mahusiano ya watu hakika ukiamini utamvulia nguo woman stuka
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…