Swali lako siyo la kijinga.Marko 16:15-16
15Akawaambia, Enendeni ulimwenguni mwote, mkaihubiri Injili kwa kila kiumbe. 16Aaminiye na kubatizwa ataokoka; asiyeamini, atahukumiwa.
Mathayo 28:19
Nendeni basi, mkawafanye watu wa mataifa yote wawe wanafunzi wangu, mkiwabatiza kwa jina la Baba, na la Mwana, na la Roho Mtakatifu.
Tunaambiwa ukristo sio dini Hawa watu ambao yesu alikuwa anawatuma waende ulimwengu wakawafanye watu wawe wanafunzi au wafuasi wa yesu walikuwa wa dini gani ? Au Baada ya watu kuamini na kubatizwa watakuwa wa dini gani ?
Mkuu, ktakacho kupeleka peponi au motoni ni matendo yako, siyo dinii
Anza kuondoa huo ujinga kwa maelezo hayo hapo juu, ikishindikana soma haya hapa chini
Naambatisha
Najua ivo kiongozi Ila kuna watu wanasema ukristo sio dini na yesu sio muanzilishi wa ukristo
Kama wanataka sadaka zako na ukae upande wao,unadhani wangekuambia nini?Jiongeze mkuu.Utaibiwa.Na wakishindwa kukuibia wanakuiba wewe mwenyewe.Shtuka!Najua ivo kiongozi Ila kuna watu wanasema ukristo sio dini na yesu sio muanzilishi wa ukristo
Marko 16:15-16
15Akawaambia, Enendeni ulimwenguni mwote, mkaihubiri Injili kwa kila kiumbe. 16Aaminiye na kubatizwa ataokoka; asiyeamini, atahukumiwa.
Mathayo 28:19
Nendeni basi, mkawafanye watu wa mataifa yote wawe wanafunzi wangu, mkiwabatiza kwa jina la Baba, na la Mwana, na la Roho Mtakatifu.
Tunaambiwa ukristo sio dini Hawa watu ambao yesu alikuwa anawatuma waende ulimwengu wakawafanye watu wawe wanafunzi au wafuasi wa yesu walikuwa wa dini gani ? Au Baada ya watu kuamini na kubatizwa watakuwa wa dini gani ?
So sweet of a comment!Merci,monsiour!🙏😂Dini ni njia ya mwanadamu kumtafuta Mungu. Na njia pekee ya kumpata Mungu wa kweli ni kupitia imani katika Yesu Kristo.
Yesu akamwambia, Mimi ndimi njia, na kweli, na uzima; mtu haji kwa Baba, ila kwa njia ya mimi.
Yohana 14:6
Dini ni NiniMkuu, ktakacho kupeleka peponi au motoni ni matendo yako, siyo dinii
Anza kuondoa huo ujinga kwa maelezo hayo hapo juu, ikishindikana soma haya hapa chini
Naambatisha
Naomba niwakumbushe kwamba tutahukumiwa kwa kadiri ya matendo yetu
Wasalaam wana JF Kwa wale wanaoamini uzima wa milele yaani maisha baada ya kufa yenye raha (mbinguni) na yale yenye mateso (motoni) Ni hivi, kigezo ni kimoja tu matendo yetu, kwa urahisi wa rejea tusome: Ufunuo 20:13 Bahari ikawatoa wafu waliokuwamo ndani yake; na Mauti na Kuzimu zikawatoa...www.jamiiforums.com
Dini huwaje na kuletwaje mkuu?Ukristo SIO DINI.
UKRISTO HAUJAWAHI KUWA DINI.
YESU KRISTO HAKULETA DINI.
Ukoo mmoja unaitwa Massawe , ulianzia kwa mzee mmoja anayeitwa Massawe . Mzee huyo alikufa akiwa ameacha watoto kumi tu duniani , Ila hakujua kuhusiana na ukoo unaoitwa Massawe, ukiachana na jina lake tu.Najua ivo kiongozi Ila kuna watu wanasema ukristo sio dini na yesu sio muanzilishi wa ukristo
Ni neno linalotokana na Kiarabu ndai ya Qur'an. "Din" au Kingereza wanaandika "Deen".Dini ni nini
Ili la magaidi kuwalazimisha watu wafate dini Yao linapatana wapi na mafundishoQur'an 2:
256. Hapana kulazimisha katika Dini. Kwani Uwongofu umekwisha pambanuka na upotofu. Basi anaye mkataa Shet'ani na akamuamini Mwenyezi Mungu bila ya shaka amekamata kishikio madhubuti, kisicho vunjika. Na Mwenyezi Mungu ni Mwenye kusikia, Mwenye kujua. 256
257. Mwenyezi Mungu ni Mlinzi wa walio amini. Huwatoa gizani na kuwaingiza mwangazani. Lakini walio kufuru, walinzi wao ni Mashet'ani. Huwatoa kwenye mwangaza na kuwaingiza gizani. Hao ndio watu wa Motoni, na humo watadumu. 257
Mataifa ni 12 tu yanayojulikana kwenye biblia. hata Yesu kishasema nyiny hana kiti chenu, soma viti vipo vingapi mbinguni:Marko 16:15-16