Je, ni kweli Rwanda iko salama toka kumalizika kwa mauaji ya Kimbari 1994?

Mkuu hongera kwa makala yako ila siku nyingine jitahidi kuficha identities ya hao ulio wauliza maswali tofauti ,Mfano huyo Juvenile Bosco aliyekuambia kuna ukabila nchini kwao ,kesho unaweza kuletewa kichwa chake kama zawadi
Hahahaj hahha haha kaka kweri hilo linawezekana kabisa wala sina hubishi
 
Yaani wewe mwehu unafananisha Mandela na hao ndugu zako wauaji interahamwe, na hakuna mhutu amezuiwa kurudi Rwanda na 99% wamerudi wanajenga nchi bega kwa bega na watutsi, na acha kutumia hutu vs Tutsi hizo siasa zenu chafu watu wamezishtukia long time ago, peleka huo uchafu Kigali wahutu hao hao ndio watakung'ang'ania kama mpira wa kona na utajuta kuzaliwa,sielewi hii mijitu yaani baada ya kuua almost million people kwa ukabila na kukimbia nje eti sasa yanajifanya victims na mafreedom fighter wewe na interahamwe wenzako lazima mtakuwa psychotics na hata mkimbie vipi na kupiga mikelele yenu justice yenu mtapata tuu hata baada ya miaka 100
 
Wahutu gani wanaojenga Rwanda? Unachoficha nini? Ili jamii ya inayotusoma hapa ijue kweli wahutu wanaijenga Rwanda, tuambie kwenye serikali ya paka kwa ngazi ya uwaziri kuna wahutu wangapi na Watusi wangapi? Endelea kujifariji eti miaka mia,wanyarwanda mnaowanyanyasa leo ni suala la muda tu,watajikomboa siku moja.
 
Serikali ya interahamwe haikusomesha watu wake ambao wengi wao walikuwa wahutu na watutsi waliokuwa ndani ya Rwanda ndio ilikuwa worse under Habyarimana walinyimwa opportunity zote za elimu wakabaki wajinga tuu na maskini na vita iliua wasomi wengi sana na educated class ya wahutu some ndio walio andaa hiyo genocide so wengi walikimbia,naturally kazi kubwa na biashara kubwa kubwa zimeshikwa na Tutsi Rwandese waliokuwa uhamishoni maana wengi walirudi na capital na wengi ni very educated,ila things are getting better maana Kagame is doing a good job of educating Rwandese bila ubaguzi
 
Ile cabinet ya Kagame imejaa wahutu na hata Prime Minister ni mhutu, tuambie kule kwa ndugu zako Bujumbura vipi? nasikia mmejaza watu wa kabila moja tuu (la kwako) mpuuzi sana wewe
 

Thanks for the clarification bruh, sikua najua regime iliopita haikua inatilia mkazo masomo, alot of things are making sense now. shukran Koba, tuzidi kuelimishana
 
Ile cabinet ya Kagame imejaa wahutu na hata Prime Minister ni mhutu, tuambie kule kwa ndugu zako Bujumbura vipi? nasikia mmejaza watu wa kabila moja tuu (la kwako) mpuuzi sana wewe
Matusi ya nini mkuu,nimekuambia ututajie ni wahutu wangapi na Watusi ni wangapi waliopo kwenye serikali ya inkotanyi?
 
Matusi ya nini mkuu,nimekuambia ututajie ni wahutu wangapi na Watusi ni wangapi waliopo kwenye serikali ya inkotanyi?
Watu kama wewe ndio mnajali watutsi wangapi na wahutu wangapi, hiyo ni legacy yenu na interahamwe wenzako mliyoiachia Rwanda na kwa sasa hayo mambo hayana nafasi tena,Rwanda is doing fine na inasonga mbele ila justice yenu lazima mtaipata tuu
 
mapimbi kama wewe ndio mnajali watutsi wangapi na wahutu wangapi, hiyo ni legacy yenu na interahamwe wenzako mliyoiachia Rwanda na kwa sasa hayo mambo hayana nafasi tena,Rwanda is doing fine na inasonga mbele ila justice yenu lazima mtaipata tuu
Najua huwezi kulijibu hili swali maana unajua wahutu hawaijengi Rwanda kwa kuwa serikali ya Watusi imewatenga. Mnachokifanya sasa ni kuwasaka na kuwauwa wasomi wote wa kihutu ili mtawale vizuri na kukaa madarakani milele. Hayo mnayoyafanya Rwanda Watusi wenzenu wa Burundi ndio ilikuwa kazi yao,sasa yako wapi? Wameanzisha sindumuja ili wapindue serikali halali,wamekarabatiwa,Rwanda ya Watusi ikajifanya inawasaidia mmedhibitiwa sasa mmebaki mnapiga kelele za genocide Burundi. Nakuambia hivi,subirini wahutu wajiunge pamoja wawatimulie mbali wabaguzi wakubwa nyie.
 
wewe ni Mnyarwanda?
 
Mkuu hata watutsi nao waliteswa sana miaka ya nyuma pia habyarimana nae aliua watutsi kibao tuu.
 
Mkuu hata watutsi nao waliteswa sana miaka ya nyuma pia habyarimana nae aliua watutsi kibao tuu.
Nikweli kabisa kuwa hata utawala wa kihutu kwa watusi ulipelekea mauaji pia ya Watusi wengi.

Na ndio maana katika makala hii nimejalibu kueleza kwa kina sana Juu ya mauaji ya 1959,1963,1964,1975 na Yale ya kimbali ya mwaka 1995
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…