Je, ni kweli Rwanda iko salama toka kumalizika kwa mauaji ya Kimbari 1994?

Mkuu hongera kwa makala yako ila siku nyingine jitahidi kuficha identities ya hao ulio wauliza maswali tofauti ,Mfano huyo Juvenile Bosco aliyekuambia kuna ukabila nchini kwao ,kesho unaweza kuletewa kichwa chake kama zawadi
Hahahaj hahha haha kaka kweri hilo linawezekana kabisa wala sina hubishi
 
Unachokisema kinaakisi tabia za Watusi walio wengi. Mtusi kawaida yake huwa ni jino kwa jino,tabia hii itawaponza mtakuwa wakimbizi miaka yote. Nelson Mandela aliteswa sana na makaburu,walimfunga jela na kumfanyia kila dhihaka,alipoikamata nchi alihimiza maridhiano ya kweli ya kitaifa mpaka leo Afrika Kusini ni shwari. Melchior Ndadaye alipoikamata Burundi hakulipiza kisasi kwa Watusi waliokuwa wanaua wahutu kama nzige kwa miaka naenda rudi. Wahutu wote waliotawala Burundi,kama Sylivestre Ntibantunganya,Cyprien Ntaryamira,Ndadaye Melchior wala Pierre Nkurunziza,hawajathubutu kuwaua Watusi wala kulipiza kisasi. Huo ndio utu.
Yaani wewe mwehu unafananisha Mandela na hao ndugu zako wauaji interahamwe, na hakuna mhutu amezuiwa kurudi Rwanda na 99% wamerudi wanajenga nchi bega kwa bega na watutsi, na acha kutumia hutu vs Tutsi hizo siasa zenu chafu watu wamezishtukia long time ago, peleka huo uchafu Kigali wahutu hao hao ndio watakung'ang'ania kama mpira wa kona na utajuta kuzaliwa,sielewi hii mijitu yaani baada ya kuua almost million people kwa ukabila na kukimbia nje eti sasa yanajifanya victims na mafreedom fighter wewe na interahamwe wenzako lazima mtakuwa psychotics na hata mkimbie vipi na kupiga mikelele yenu justice yenu mtapata tuu hata baada ya miaka 100
 
Wahutu gani wanaojenga Rwanda? Unachoficha nini? Ili jamii ya inayotusoma hapa ijue kweli wahutu wanaijenga Rwanda, tuambie kwenye serikali ya paka kwa ngazi ya uwaziri kuna wahutu wangapi na Watusi wangapi? Endelea kujifariji eti miaka mia,wanyarwanda mnaowanyanyasa leo ni suala la muda tu,watajikomboa siku moja.
 
Mkuu, mimi binafsi nimekaa pale Rwanda nikiwa na contract ya serekali ya Rwanda for two years, jambo ambalo niliona ni kuwa kuna discrimination kubwa sana dhidi ya wa hutu especially kwenye mambo ya job opportunities, ni wahutu kidogo utakuta wanafanya kazi za serekali na wa tutsi wengi ambao wapo serikalini ni waliotoka Uganda, something which causes alot of bitterness to Tutsi's who didn't escape to UG when the Hutus were in power.

Kwangu nafikiri rwanda is a ticking time bomb and if nothing is done to improve the situation among the Hutu, some guy's will pick up arms and lots of damage will be done.

Uchumi umeshikiliwa na watu wachache considering that the gvt is the highest paying employer, wahutu wengi wameishia kuwa wahudumu kwenye vilabu na restaurants ambapo malipo huwa duni sana. I Employed majority Hutus during my 2 year stint. alafu kuna gari ambalo huzunguka likikusanya vijana idle na kuwapeleka 'informal schools' ambapo huwa wanafungiwa kwenye hio institution for more than a year without even informing their next of keen kwa kisingizio kuwa wana wafundisha technical jobs kama carpentry na welding and majority of the people taken are hutus.
Serikali ya interahamwe haikusomesha watu wake ambao wengi wao walikuwa wahutu na watutsi waliokuwa ndani ya Rwanda ndio ilikuwa worse under Habyarimana walinyimwa opportunity zote za elimu wakabaki wajinga tuu na maskini na vita iliua wasomi wengi sana na educated class ya wahutu some ndio walio andaa hiyo genocide so wengi walikimbia,naturally kazi kubwa na biashara kubwa kubwa zimeshikwa na Tutsi Rwandese waliokuwa uhamishoni maana wengi walirudi na capital na wengi ni very educated,ila things are getting better maana Kagame is doing a good job of educating Rwandese bila ubaguzi
 
Wahutu gani wanaojenga Rwanda? Unachoficha nini? Ili jamii ya inayotusoma hapa ijue kweli wahutu wanaijenga Rwanda, tuambie kwenye serikali ya paka kwa ngazi ya uwaziri kuna wahutu wangapi na Watusi wangapi? Endelea kujifariji eti miaka mia,wanyarwanda mnaowanyanyasa leo ni suala la muda tu,watajikomboa siku moja.
Ile cabinet ya Kagame imejaa wahutu na hata Prime Minister ni mhutu, tuambie kule kwa ndugu zako Bujumbura vipi? nasikia mmejaza watu wa kabila moja tuu (la kwako) mpuuzi sana wewe
 
Serikali ya interahamwe haikusomesha watu wake ambao wengi wao walikuwa wahutu na watutsi waliokuwa ndani ya Rwanda ndio ilikuwa worse under Habyarimana walinyimwa opportunity zote za elimu wakabaki wajinga tuu na maskini na vita iliua wasomi wengi sana na educated class ya wahutu some ndio walio andaa hiyo genocide so wengi walikimbia,naturally kazi kubwa na biashara kubwa kubwa zimeshikwa na Tutsi Rwandese waliokuwa uhamishoni maana wengi walirudi na capital na wengi ni very educated,ila things are getting better maana Kagame is doing a good job of educating Rwandese bila ubaguzi

Thanks for the clarification bruh, sikua najua regime iliopita haikua inatilia mkazo masomo, alot of things are making sense now. shukran Koba, tuzidi kuelimishana
 
Ile cabinet ya Kagame imejaa wahutu na hata Prime Minister ni mhutu, tuambie kule kwa ndugu zako Bujumbura vipi? nasikia mmejaza watu wa kabila moja tuu (la kwako) mpuuzi sana wewe
Matusi ya nini mkuu,nimekuambia ututajie ni wahutu wangapi na Watusi ni wangapi waliopo kwenye serikali ya inkotanyi?
 
Matusi ya nini mkuu,nimekuambia ututajie ni wahutu wangapi na Watusi ni wangapi waliopo kwenye serikali ya inkotanyi?
Watu kama wewe ndio mnajali watutsi wangapi na wahutu wangapi, hiyo ni legacy yenu na interahamwe wenzako mliyoiachia Rwanda na kwa sasa hayo mambo hayana nafasi tena,Rwanda is doing fine na inasonga mbele ila justice yenu lazima mtaipata tuu
 
mapimbi kama wewe ndio mnajali watutsi wangapi na wahutu wangapi, hiyo ni legacy yenu na interahamwe wenzako mliyoiachia Rwanda na kwa sasa hayo mambo hayana nafasi tena,Rwanda is doing fine na inasonga mbele ila justice yenu lazima mtaipata tuu
Najua huwezi kulijibu hili swali maana unajua wahutu hawaijengi Rwanda kwa kuwa serikali ya Watusi imewatenga. Mnachokifanya sasa ni kuwasaka na kuwauwa wasomi wote wa kihutu ili mtawale vizuri na kukaa madarakani milele. Hayo mnayoyafanya Rwanda Watusi wenzenu wa Burundi ndio ilikuwa kazi yao,sasa yako wapi? Wameanzisha sindumuja ili wapindue serikali halali,wamekarabatiwa,Rwanda ya Watusi ikajifanya inawasaidia mmedhibitiwa sasa mmebaki mnapiga kelele za genocide Burundi. Nakuambia hivi,subirini wahutu wajiunge pamoja wawatimulie mbali wabaguzi wakubwa nyie.
 
Comred Mbwana naomba nitoe comment zangu kwa hii Mada yako ambayo kwa kweli ni yakuchekesha, inasikitisha kama hiyo ziara yako ya mwezi mzima na miji uliyotembelea yote umeifanya source yo hizi story zako sijui ni kwanini unataka kudanganya walimwengu kwa kudai umefanya uchunguzi, kwa haraka haraka zinarudia story zile zile na theory zile zile za tangu miaka ya 1930,1940,1950,1960.... hadi 1994. you dont need to move a meter kuandika hizi story, nothing new at all. nilitegemea kwa ku kaa Rwanda muda wote huo na kutembea miji yose hiyo ungeleta angalau kiti kipya japo kimoja, umerudia theory zile zile za mkoloni na mashabiki wake, zile zile za wanafalsafa wa kimagaribi na wale wote wenye kupenda kuchochea chuki kati ya Wanyarwanda. In fact sijui kama umefanya intentionaly au ni kutofahamu ukweli harisi kuhusu Rwanda hivyo kubugia ma Colonial theories. Unfortunately I cant get enough time to collect every wrong statment uliyotoa kuhusu Rwanda, lakini kama wewe ni mkweli na unataka kujua ukweli kuhusu Rwanda nimeona full adress yako and will try to enlighten you about it if you are interested ofcource. Tuanze namna hii, Kama ilivyo sehemu yeyote duniani utawala wa kifalme ni wa kurithishana, kizazi hadi kizazi, hivi ndivo ilivyo popote pale duniani, hata Malkia Elizabet alirithi toka kwa baba yake King George na atamlithisha mwanae, ndivyo ilivyokuwa kwa King Milambo wa Tabora, King Chabruma etc etc, Hata Rwanda ya wakati huo utawala ulishikiliwa na ukoo mmoja tu na ulikuwa ukirithishwa ndani ya Familia, Mtawala ambaye twaweza kumuita jina lolote, kutokana na Kabila au lugha itumikayo atampatia huo utawala mmoja wa watoto ndivyo ilivyokuwa kwa Rwanda pia, kwa taarifa yako Watawala wa Rwanda kabla ya Ukoloni walitokea kwenye Clan au ukoo ujulikanao kama Banyiginya. huu ukoo umetawala Rwanda kwa karibu miaka 400 kabla ya ujio wa wakoloni, inasemekana kabla ya hiyo miaka kuna wakati utawala ulikuwa mikononi mwa ukoo mwingine lakini yaritokea mapinduzi, unfortunately it is another story, I will not go on it. Kwa sababu za kikoloni na ambazo tumeendelea kulishwa hadi hii leo, utasikia eti Watusi ndio walikuwa wanatawala Rwanda, si kweli kwani Watusi hawakuwa Wafalme wote utawala ulukuwa mikononi mwa Nyiginya Clan as I said, all other Clans were subject of the King. Initially these Clans were made of single families which grew up to be come a big Clans, but when we say a Nyiginya Clan, in Kinyarwanda ABANYIGINYA we mean the descendants of Someone wit a name resembling that Clan, So all Rwanda Kings came from Nyiginya Clan as it was the ruling Clan something which is common all over the world, in Rwanda the Traditions made it in such a way the A king from A nyiginya Clan when he ascended to power he was to marry a daughter from Abega Clan however as it was Patrimony society, the offspring will always be Banyiginya.
Nataka nikufahamishe kuwa katika Nyiginya clan iliyokuwa inatawala Rwanda ya wakati huo, hadi leo hii wamo hao unaowaita wahutu na watutsi hii ni Fact ambayo kama unataka ukweli kuhusu Rwanda ungeitafuta nakuitafakari kwa kina huu ndio ukweli ambao Wakoloni, Wazungu wababaishaji wote wanaukwepa kwani unabadirisha theory nyingi sana za wasomi kuhusu Rwanda. Kwa kukufungua macho zaidi ndugu yangu Rwanda before the arrival of Colonialism hadi 17 Clans(Koo) plus the Nyiginya clan(Ukoo), making it a a kingdom/State with 18 big big families/Clans (kwa Kiswahili ni koo) and here they go like this: Abazigaba,Ababanda,Abacyaba,Abanyiginya,Abega,Abasindi,Abungura,Abakono,Abasinga,Abanengwe,Abasita,Abashingwe,Abahinda,Abaha,Abanyakarama,Abarenge,Abatsobe and Abagesera For your information my friend these Clans had one great great great grand father, the Bazigaba their ancestor was Kazigaba, Ababanda he was known as Kabanda, Abacyaba was Bucyaba etc etc. All Rwandans right now, the so called Hutu, Tutsi and Twa, will be found in one of those Clans na huo ndio ukweli ambao Wakoloni na ma Puppet wao hawapendi kuusikia, leo hii tembea ndani ya Rwanda muulize mnyarwanda yeyote ukoo wake, atakupa one of those. Wakati huo kabla ya mkoloni hizi kila moja ilikuwa na Sign yake, ambayo iliheshimiwa sana na huo ukoo kwa sababu mbalimbali, hizi sign zilikuwa Mfano, Chui, Tai, Simba,Chura etc etc. Kila wakati endapo nchi ikivamiwa, kama ujuavyo nyakati zili, Mfalme alikuwa anaita vikosi toka kwa baadhi ya Koo, na waliokuwa wakiitwa walikuwa wanakuja haraka sana with pride huku wamebeba banner yao yenye ire Sign ya ukoo then wanaelekea kuilinda nchi na vikosi vya mfalme. Nakubaliana na wewe kuwa Mkoloni mbelgiji ndiye chanzo cha matabaka ya HUTU na TUTSI kama ulivysema mwenyewe pale mwanzoni, lakini nashangaa umeendelea ukayageuza kuwa makabila, it doesnt make sense, very true the Belgians just from no where one day decided to divide all Rwandans into Three groups, HUTU,TUTSI and TWA.
Rwandans were very organised before the coming of Germans towards the end of 18th C, their territory covered all eastern Congo, Southern and Eastern part of Uganda up Lake Edward, the coming of colonialist coincidentally happen when one of their great King RWABUGIRI had just passed away and their had been a fight on succession btn Nyiginya Clan and Abega Clan. Anyway this is another story, however my point here is counter your theory of Tutsi ruling of hutu.

Umenichekesha pia ulipo leta issue ya Hima Empire na Mkataba wa Lemera!! where does it coming from....... do I hear it for the first time? Nope, this has been there and it has been used effectively especially inapokuja kuwatisha wa Tanzania na kuwafanya wasijenge urafiki wowote na Rwanda kisa eti Kagame anataka kujenga hima empire itakayo cover Eneo la Maziwa makuu na Ukanda mzima, hii theory iko hapa miaka chungumbovu, inakuwa twisted hapa na pale just to fit someones agenda, all the writers who uses it will twist it to fit certain intention sijui wewe yako ni ipi but it is crystal clear, Wakati fulani, ilikuwa ni mkataba wa Kagame na Kabila, wakati mwingine Kagame na Museveni, wakati mwingine Kagame, Museven na Zenawi RIP, wewe umeleta Rwanda, Uganda na Kenya meaning (Kagame, Museveni na Uhuru). Hii theory na huu mkataba hewa umekuwa ukizungumzwa na watu mbalimbali wenye Agenda Feki na wenye upeo mfupi wa mawazo hata kabla Uhuru hajaingia madarakani hulijui hilo mwenyewe umesema ulisainiwa 1996? Kalaghabaho. Hivi wewe, dunia ya Leo inawezekana kweli kujenga empire kwenye nchi za watu, Dunia ya sasa na mambo ya Empire kweli vinaendana?

Anyway I have no more time for now, but if your phones are real especially those in Rwanda or TZ and you are willing to share Ideas, we could link, I will definitely try to reach you. however I doubt you will be availlable kwani kwa jinsi ya uandishi wako na jinsi unavyoleta idea zako unaelekea kama mtu furani niliyewahi kujibishana nae humu nae alikuwa analethe theory za kikoloni kama hizi nilipomuomba tufahamiane zaidi kwa manufaa yetu sote alinikatalia kata kata.
wewe ni Mnyarwanda?
 
Najua huwezi kulijibu hili swali maana unajua wahutu hawaijengi Rwanda kwa kuwa serikali ya Watusi imewatenga. Mnachokifanya sasa ni kuwasaka na kuwauwa wasomi wote wa kihutu ili mtawale vizuri na kukaa madarakani milele. Hayo mnayoyafanya Rwanda Watusi wenzenu wa Burundi ndio ilikuwa kazi yao,sasa yako wapi? Wameanzisha sindumuja ili wapindue serikali halali,wamekarabatiwa,Rwanda ya Watusi ikajifanya inawasaidia mmedhibitiwa sasa mmebaki mnapiga kelele za genocide Burundi. Nakuambia hivi,subirini wahutu wajiunge pamoja wawatimulie mbali wabaguzi wakubwa nyie.
Mkuu hata watutsi nao waliteswa sana miaka ya nyuma pia habyarimana nae aliua watutsi kibao tuu.
 
Mkuu hata watutsi nao waliteswa sana miaka ya nyuma pia habyarimana nae aliua watutsi kibao tuu.
Nikweli kabisa kuwa hata utawala wa kihutu kwa watusi ulipelekea mauaji pia ya Watusi wengi.

Na ndio maana katika makala hii nimejalibu kueleza kwa kina sana Juu ya mauaji ya 1959,1963,1964,1975 na Yale ya kimbali ya mwaka 1995
 
Similar Discussions

2 Reactions
Reply
Back
Top Bottom