Je, ni kweli Rwanda iko salama toka kumalizika kwa mauaji ya Kimbari 1994?

Nimeelimika sana na taarifa yako ila kuna dhana kwamba kule rwanda hakuna kabila linaloitwa wahutu ama Watusi ila ni watu wakulima(Wahutu) na Watusi (wafugaji) na lugha inayozungumzwa Rwanda ni moja tu ambayo ni kinyarwanda. Nitashukuru kama utaligusia hilo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
For the above post Sorry! kwa mistake zozote za lugha, uandikaji sikupata muda wa kuhariri, but Am Rwandan who was born and grew up in TZ, I live and work in Northern part of Rwanda in the town my comred mentioned as Ruhengeri/Musanze
Hi broo nimeshukuru kwa kutupatia ukweli kuhusu Rwanda. Niliwahi kuwa na marafiki wakinyarwanda nilipokuwa nasoma udsm. Walikua wanaongea lugha ya kwao nikawauliza wanachoongea ni kihutu au kitusi wakanijibu ni kinyarwanda. Na pia wakanambia Hakuna kabila la watusi wala wahutu ila kuna wakulima(wahutu)na wafugaji(watusi). Kwa Maelezo yako nimeprove kuwa ni kweli tumedanganywa na tunaendelea kudanganya kuwa nchini rwanda kulikua na vita ya ukabila. Sasa naomba kwa nia ya kupanua uelewa na ili tusipotoshe zaidi utusaidie kutuelimisha ile Vita tuiitaje?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Same propaganda Comred Mbwana Allyamtu ..... Watusi laki 8 na wahutu wa msimamo wa kati waliuawa?? haaahaaaa

Hivi mnapataga wapi source zenu za taarifa?? Unaweza ukatupa mchanganuo wa hutu..tutsi population kabla ya genocide na je kma walikufa watutsi laki 8 walibaki wangapi?? Maana mnaongea as if RPF haikuua muhutu yeyote kwenye vita

Kwanza hakukuwa na watutsi laki 8 rwanda by the time genocide inaanza cjui hii research yako umeifanyia wapi!!!

Mbona hujataja RPF walivyochinja wahutu malaki kwenye kambi za wakimbizi mara baada tu ya kupindua serikali

THE SLAUGHTER OF HUTU REFUGEES IN DRC - RWANDA DEMOCRACY WATCH

The Rwandan Patriotic Front (HRW Report - Leave None to Tell the Story: Genocide in Rwanda, March 1999)

Kibeho 1995: a massacre forgotten in Rwanda’s 20-year history - Jambonews EN

: Kabila Army's Mass Murder of Rwandan Hutu Refugees

Embu tuache kulishwa maneno na propaganda za wazungu ukweli utabaki hakuna cha TUTSI GENOCIDE ila kuna RWANDAN GENOCIDE ambapo watutsi na wahutu wote walichinjana.
 
Umedanganya sehemu moja kua ndege za marais zilitunguliwa na wahutu….
Mkuu historia yako ina nusu kweli na nusu uwongo
 
Back
Top Bottom