Je, ni kweli Rushwa imepungua?

Je, ni kweli Rushwa imepungua?

Rushwa inaishaga kwenye vitengo vya polisi na mahakama??
Nenda ardhi, NHC Dar, wanaita facilitation,

Nenda hospital na zahanati za serikali, inakeraa!

Tunahitaji mifumo imara dhabiti,

Everyday is Saturday............................... 😎

Of course
 
Brother you can be heard well if you talk than when you write. You meant well when you opened this discussion but you are now panic stricken. I don't know your age but I dare to tell you GROW UP and come join the table of gentlemen when your tongue is clean.
Kuumia nini? Mimi siumii kitu. Tunajadili ukweli. Be Objective
 
Imefichwa na kuwekewa madaraja ya exclusive na inclusive
Ukiwa daraja la exclusive umepona na hutajulikana...
 
Rushwa ya kiwango ipi labda
Ya buku 5000 mpk 10000 au ya mamilion

Ova
 
Kama rushwa imepungua labda ni huko TAKUKURU kwenyewe kwani sijasikia tukio jingine baada ya Yale ya mmama, mhasibu na jumba bovu.
 
Brother you can be heard well if you talk than when you write. You meant well when you opened this discussion but you are now panic stricken. I don't know your age but I dare to tell you GROW UP and come join the table of gentlemen when your tongue is clean.

OK.
 
Kama rushwa imepungua labda ni huko TAKUKURU kwenyewe kwani sijasikia tukio jingine baada ya Yale ya mmama, mhasibu na jumba bovu.

Haiwezi kupungua. Imeogopeshwa Kutamkwa. Fanya Maamuzi sahihi Tarehe 28. Chukia kunufaisha wachache
 
Rushwa ya kiwango ipi labda
Ya buku 5000 mpk 10000 au ya mamilion

Ova

Kiwango chote. Fanya Maamuzi sahihi Tarehe 28, chukia kunufaisha wachache.
 
Back
Top Bottom