Kuna hii taarifa inasema Rais wa Marekani aionya Tanzania isiwajaribu? Je ni taarifa ni kweli au
- Tunachokijua
- Uhalisia wa madai hayo
Ufuatiliaji kwa njia ya mtandao umebaini kuwa taarifa hiyo si ya kweli.
JamiiCheck imepitia ukurasa rasmi wa Rais Trump na kubaini kuwa hajachapisha ujube wa aina hiyo hivyo screenshot hiyo ni ya kughushi.
Aidha katika ukurasa wake wa X kupiia keyword search imebainisha Rais Trump hajawahi kuchapisha neno Tanzania.
Vita inayoendelea kati ya Iran, Marekani na Israel ilianza Februari 28, 2025 lakini tarehe inayoonekana katika screenshot ya kughushi ni Januari 05, 2026 ambapo baada ya ufuatiliaji umebaini kuwa kwa siku hiyo Rais Trump hakuchapisha ujumbe wowote katika ukurasa wake wa X.