Je, ni kweli pesa za kichawi zipo?

Je, ni kweli pesa za kichawi zipo?

Blackninja

JF-Expert Member
Joined
Aug 26, 2018
Posts
381
Reaction score
327
Imekuwa ni kawaida kusikia kuwa flani ana pesa za kichawi .....
Swali langu je ni kweri hizo pesa zipo?????
Na kama zipo zina mwingiliano gani na pesa halali ?
 
Hahahahaha! Hahahahaha! Mbeya ndio zipo sana hususani suala la mikopo mtu akikupa pesa mkononi piga ua hiyo pesa hutairudisha hata iwaje, yeye ataishia kujimilikisha kitu ulichoweka poni
 
Hahahahaha! Hahahahaha! Mbeya ndio zipo sana hususani suala la mikopo mtu akikupa pesa mkononi piga ua hiyo pesa hutairudisha hata iwaje, yeye ataishia kujimilikisha kitu ulichoweka poni
Tunasikia tuuu
 
Wakuu kama mnavojua vyuma vimekaza jamani nataka nikajilipue kwa sangoma ....... Kwa masharti yoyote nipo tayari Kama kuna yoyote anaejua direction anijulishe
Nipo serious wakuu
 
Back
Top Bottom