Je, ni kweli pesa za kichawi zipo?

Je, ni kweli pesa za kichawi zipo?

Na Mimi nikachukue mahela Maaana kama dhambi ninazo
 
Pesa yenyewe inatengenezwa kichawi unategemea jibu gani ?? Unaweza ukaletewa box limejaa wekundu wa msimbazi kutoka baharini ila tu ukubaliane na masharti
 
Pesa yenyewe inatengenezwa kichawi unategemea jibu gani ?? Unaweza ukaletewa box limejaa wekundu wa msimbazi kutoka baharini ila tu ukubaliane na masharti
Me nshakubaliana na masharti ......... Ninachoomba direction vingine mniachie mwenyewe
 
Kweli noma brooo. Haya mambo yanasikika tu KUWA wakinga na wabena noma. Lkn nimekuwaza karibu na Hawa wafanyabiashara kiukweli ni wachapakazi sana, wapo serious na shughuli yao, hawana matanuzi ya Pesa yao. Chakula kinaoikwa home wanaletewa dukani.
Sisi wengine shida yetu twapenda misele sana na kufanya, Duka bado DOGO umeshajiri MTU wa kuuza, mademu mji mzima wataka wawe wako. Hatuwezi fanikiwa.
 
Kila kitu kina 7bu zake mkuuu na kila MTU anajua yeye anatafuta vipi pesa
Achana na hizo pesa. Bora elfu mbili ya furaha kuliko milioni mbili ya mashaka.
Usijaribu, pambana na maisha kivingine kabisa.
 
Imekuwa ni kawaida kusikia kuwa flani ana pesa za kichawi .....
Swali langu je ni kweri hizo pesa zipo?????
Na kama zipo zina mwingiliano gani na pesa halali ?
Nenda Jamii intelligence kamtafute rakims anajua!
 
Hahahah haya mambo ya pesa bwana

Alieandika kitabu namna ya kupata pesa alikosa pesa ya kutangaza kitabu chake

Mganga nae anataka umpe pesa afanye usangoma wake ili upate pesa khaa...

Pambana na hali yako mkuu no way kuna watu wamevurugwa na maisha zaidi yako....
 
Mshana Jr. Uje utujibu huku au ukipata time uje na Uzi wa haya maswala ya pesa za kichawi
 
Wakuu kama mnavojua vyuma vimekaza jamani nataka nikajilipue kwa sangoma ....... Kwa masharti yoyote nipo tayari Kama kuna yoyote anaejua direction anijulishe
Nipo serious wakuu
Acha mawazo potofu
 
Imekuwa ni kawaida kusikia kuwa flani ana pesa za kichawi .....
Swali langu je ni kweri hizo pesa zipo?????
Na kama zipo zina mwingiliano gani na pesa halali ?
Nenda Tunduma utazipata za kuku kudonoa mahindi,nenda Malawi maeneo ya misuku,chitipa,chinunga na sehemu zingine hela hizo zipo, ila wakati unafilisika hata nyumba zinabomoka,magari yanakuwa skerpa baada ya muda fulani
 
Sidhani kama ni kweli. Ingekuwa hivyo waafrika tungekuwa matajiri wa kutupwa. Fayeni kazi.Halafu mleta mada kuazna kuulizia uchawi bongo si ni sawa na kuulizia uchafu jalalani?
 
KUna sehemu nilipita niliona tangazo la begi lisiloisha pesa...Nkaamua kupita tu kwanza
 
Pesa yenyewe inatengenezwa kichawi unategemea jibu gani ?? Unaweza ukaletewa box limejaa wekundu wa msimbazi kutoka baharini ila tu ukubaliane na masharti
Hakuna kitu kama hicho. Yaani uletewe pesa tu kwenye box!!!!???? Haitokei Fanya kazi, Fanya biashara utapata pesa.
 
Back
Top Bottom