Salaam kwenu wadau hapa mjengoni JF!
Usiku wa kuamkia leo nimeota ndoto ambayo imenfanya nitafakari ule msemo watu huwa wanasema eti ndoto ni "reflection" ya mawazo tunayowaza tukiwa hatujalala.
Ndoto yenyewe iko hivi:
Nilikua maeneo ya mtaani nikabanwa na haja kubwa, basi nkacheki mazingira ya choo karibu sikuona, ikabidi nijiongeze nikafungua begi langu la mgongoni nikachukua mfuko nikaenda pembeni nkajisaidia haja kubwa ndani ya mfuko.
Nilivomaliza nkaufunga vizuri mfuko kisha nkauweka ndani ya begi. Baada ya kumaliza nkaondoka zangu ili nkautupe huo mzigo kwenye vyoo vya hosteli ya wanafunzi hapo mtaani,, bahati mbaya nikafika huko nako nikakuta vyoo vyao vimejaa. Hapo nkashtuka usingizini.
Swali lililopelekea kuandika uzi huu ni hili.
Kama ndoto ni reflection ya mawazo ninayowaza, nashindwa kuelewa muda wangu navoupoteza kuwaza mawazo "taka" kama haya!
yaani najisaidia kwenye mfuko kisha nabeba haja ndani ya begi nazurura nayo mgongoni?
Kwani kuna ukweli katika suala hili jamani?