Mambo ni viceversa siyoMakubwa kweli
Yaani ni nomaMambo ni viceversa siyo
Ntawaunga mkono kiasi sababu hata sisi huchoka bwana saazote sisi ndio wakuanza tu!! Hatakama mwanamke amekupenda asilimia 100% we mpaka umwanze tu.Wacha nikae pembeni nisubiri karembo kakunitongoza.Yaani ni noma
Kila la kheri mkuu katika zoezi lakoNtawaunga mkono kiasi sababu hata sisi huchoka bwana saazote sisi ndio wakuanza tu!! Hatakama mwanamke amekupenda asilimia 100% we mpaka umwanze tu.Wacha nikae pembeni nisubiri karembo kakunitongoza.
Wewe unamng'ang'ania mtapeana mihadi siku yenyewe ukatoka nduki utakuta mtu mwenyewe sura kama mwajuma ndala ndefu.Demu kaumbwa kutongozwa akikutongoza wewe ujiangalie mara bee.Anza na mimi
Kumbe mnapenda kutongozwa eeh!
Hata hao waliokukubali usifiri ni shujaa wa kutongoza kilichotokea tu ni kwamba waliona kuwa na wewe ni perfect match though hawakujilengesha (walijilengesha kimoyomoyo) na ndio maana demu makini ili akukubali lazima awe mmeonana nae siku mbili tatu na lazima kuna kitu ambacho kimewakutanisha kiasi kwamba akajenga trust kwako unless awe kicheche