ELI-91
JF-Expert Member
- Aug 24, 2014
- 3,583
- 9,683
Watu mna mchukulia poa shetani, kama kumuua shetani ingekua rahisi kiivyo basi mungu angesha mchinjia mbali. Kwenye bible mungu amewauwa watu wasio na idadi kwa uovu wao na muda mwingine kwasababu tusisoweza kuzijua. Hata siku ya hukumu biblia haisemi mungu atammaliza shetani kabisa inasema atamkamata na kumtupa katiza ziwa la moto na humo shetani na malaika wenzake waasi watateswa milele. Kwahiyo kama shetani angekua anakamatina na kuuawa kirahisi basi mungu asinge mvumilia kabisa. So kabla hujamshushia heshima yake shetani jifikirie vizuri. (Japo haya mambo kwa mtizamo wangu mungu hapendi tujihusishe nayo, habari za ugomvi wake na shetani tumwachie yeye, sisi tufwate tu kile tulichofundishwa na Yesu)