Shamba eggs
Member
- Feb 13, 2019
- 12
- 5
Kwanini pesa iwe msingi wa maendelo???Ni moja Kati ya haya au your
1. Uwajibikaji. Huu ndio msingi wa mtu kufikia maendeleo wa asili kabisa.
2. Bahati/baraka/kudra/kismati. Huu ni upendeleo maalum ambao wachache Sana wanaupata na hua hauelezeki. Define unavoweza iwe ni kutoka kwa Mungu/Lucifer/mizimu/makini/malaika etc
3. Shortcut. Mifano km wizi, dhuluma, ufisadi nk.
MB: Kwa dunia ya Sasa msingi wa maendeleo ni pesa ambazo zitakupa Mali unazotaka.
Sent using Jamii Forums mobile app
Jibu lipo hapo. Pesa inakuwezesha kupata maendeleo unayoyahitajiKwanini pesa iwe msingi wa maendelo???
Una maanisha ili mtu/Taifa liendelee (hasa sisi masikini) tunahitaji pesa??
Bidada Soma main comment yangu vizuri pale juu. Nimetaja vitu vi3. Msingi wa maendeleo ni uwajibikaji, bahati na au shortcut mfano wizi/dhuluma/ufisadi nk. Kwa dunia ya Sasa hayo yote yanafanywa kwa ajili ya kupata pesa ambayo ni sawa sawa na Mali.Una maanisha ili mtu/Taifa liendelee (hasa sisi masikini) tunahitaji pesa??
Mimi nimesimamia kwenye point yako ya mwisho ambayo uweiwekea msisitizo..ndio maana nikakuuliza...anyway mimi nafahamu pesa ni matokeo tuu na sio msingi halisi wa maendeleo hata kwa dunia ya sasa.Bidada Soma main comment yangu vizuri pale juu. Nimetaja vitu vi3. Msingi wa maendeleo ni uwajibikaji, bahati na au shortcut mfano wizi/dhuluma/ufisadi nk. Kwa dunia ya Sasa hayo yote yanafanywa kwa ajili ya kupata pesa ambayo ni sawa sawa na Mali.
Sent using Jamii Forums mobile app
Nakuelewa. Ila kumbuka kwamba pesa ina historia haikuwepo, ipo na itaondoka.Mimi nimesimamia kwenye point yako ya mwisho ambayo uweiwekea msisitizo..ndio maana nikakuuliza...anyway mimi nafahamu pesa ni matokeo tuu na sio msingi halisi wa maendeleo hata kwa dunia ya sasa.
Mleta mada anazungumzia maendeleo ya mtu binafsi, wewe unalenga maendeleo ya watu hapo lazima mtofautiane. mleta mada mbepari ww mjamaa...Kwanza lazima tuelewe dhana nzima ya maendeleo ni nini..."hali ya kupiga hatua kutoka katika hali duni kwenda katika hali nyingine iliyo bora zaidi",.na Ili tuendelee tunahitaji nini??kuna
*watu
*ardhi
*siasa safi
*uongozi bora
*mitaji...
Kwa hayo niliyoyasema wewe kama mleta mada,.unadhani maendeleo yanaletwa na mtu binafsi au kundi la watu????
Hata mm nakubali kuwa ili niendelee nahitaji kujifanyia juhudi zangu binafsi,.lakini je,kama hakuna utawala bora au siasa safi nitaweza kufikia malengo au kuendelea kwa viwango vya juu??hayo maelezo yangu nimeyatoa kwa ujumla hata mtu mmoja mmoja yanaweza kumgusa kwa upande mwingine.Mleta mada anazungumzia maendeleo ya mtu binafsi, wewe unalenga maendeleo ya watu hapo lazima mtofautiane. mleta mada mbepari ww mjamaa...
Mimi naunga mkono kwamba maendeleo ya mtu huletwa na jitihada binafsi za muhusika kufikia malengo yake!!
Inawezekana kama uta focus kwenye kile unacho kifanya, mwanasiasa ni rafiki wa aliyefanikiwa, hata sera zao zinawabeba zaidi waliofanikiwa!Hata mm nakubali kuwa ili niendelee nahitaji kujifanyia juhudi zangu binafsi,.lakini je,kama hakuna utawala bora au siasa safi nitaweza kufikia malengo au kuendelea kwa viwango vya juu??hayo maelezo yangu nimeyatoa kwa ujumla hata mtu mmoja mmoja yanaweza kumgusa kwa upande mwingine.
Ni moja Kati ya haya au yote.
1. Uwajibikaji. Huu ndio msingi wa mtu kufikia maendeleo wa asili kabisa.
2. Bahati/baraka/kudra/kismati. Huu ni upendeleo maalum ambao wachache Sana wanaupata na hua hauelezeki. Define unavoweza iwe ni kutoka kwa Mungu/Lucifer/mizimu/makini/malaika etc
3. Shortcut. Mifano km wizi, dhuluma, ufisadi nk.
NB: Kwa dunia ya Sasa msingi wa maendeleo ni pesa ambazo zitakupa Mali unazotaka.
Sent using Jamii Forums mobile app