Je, ni kweli maendeleo ya mtu yanategemea uwajibikaji wa mtu binafsi?

Kwanza lazima tuelewe dhana nzima ya maendeleo ni nini..."hali ya kupiga hatua kutoka katika hali duni kwenda katika hali nyingine iliyo bora zaidi",.na Ili tuendelee tunahitaji nini??kuna
*watu
*ardhi
*siasa safi
*uongozi bora
*mitaji...

Kwa hayo niliyoyasema wewe kama mleta mada,.unadhani maendeleo yanaletwa na mtu binafsi au kundi la watu????
 
Ndiyo,
Uwajibikaji wa mtu binafsi ndo umletea maendeleo, hujawahi kuona mko kijiji kimoja mwenyekiti wa kijiji mmoja, na fursa ni zile zile lakin watu wanatofautiana mafanikio? Na hii ni kwa sababu kuwajibika kinatofautiana, wengi uishia kulaumu Serikali, kulaumu, nature ya maisha, lakin wengine wanachapa tu kazi
 
Ni moja Kati ya haya au yote.
1. Uwajibikaji. Huu ndio msingi wa mtu kufikia maendeleo wa asili kabisa.

2. Bahati/baraka/kudra/kismati. Huu ni upendeleo maalum ambao wachache Sana wanaupata na hua hauelezeki. Define unavoweza iwe ni kutoka kwa Mungu/Lucifer/mizimu/makini/malaika etc

3. Shortcut. Mifano km wizi, dhuluma, ufisadi nk.

NB: Kwa dunia ya Sasa msingi wa maendeleo ni pesa ambazo zitakupa Mali unazotaka.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ni moja Kati ya haya au your

MB: Kwa dunia ya Sasa msingi wa maendeleo ni pesa ambazo zitakupa Mali unazotaka.

Sent using Jamii Forums mobile app
Kwanini pesa iwe msingi wa maendelo???
 
Una maanisha ili mtu/Taifa liendelee (hasa sisi masikini) tunahitaji pesa??
Bidada Soma main comment yangu vizuri pale juu. Nimetaja vitu vi3. Msingi wa maendeleo ni uwajibikaji, bahati na au shortcut mfano wizi/dhuluma/ufisadi nk. Kwa dunia ya Sasa hayo yote yanafanywa kwa ajili ya kupata pesa ambayo ni sawa sawa na Mali.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Bidada Soma main comment yangu vizuri pale juu. Nimetaja vitu vi3. Msingi wa maendeleo ni uwajibikaji, bahati na au shortcut mfano wizi/dhuluma/ufisadi nk. Kwa dunia ya Sasa hayo yote yanafanywa kwa ajili ya kupata pesa ambayo ni sawa sawa na Mali.

Sent using Jamii Forums mobile app
Mimi nimesimamia kwenye point yako ya mwisho ambayo uweiwekea msisitizo..ndio maana nikakuuliza...anyway mimi nafahamu pesa ni matokeo tuu na sio msingi halisi wa maendeleo hata kwa dunia ya sasa.
 
Mimi nimesimamia kwenye point yako ya mwisho ambayo uweiwekea msisitizo..ndio maana nikakuuliza...anyway mimi nafahamu pesa ni matokeo tuu na sio msingi halisi wa maendeleo hata kwa dunia ya sasa.
Nakuelewa. Ila kumbuka kwamba pesa ina historia haikuwepo, ipo na itaondoka.

Zamani sana watu walifanya kazi ili kujimilikisha Mali Kama ardhi, mifugo, madini, mazao, watumwa nk. Kwa hiyo msingi wa maendeleo kwa Zama zile ilikuwa ni mali unayomiliki. Service providers wote waliangalia utatoa mali ipi kulingana na mahitaji yako...iyo ilikuwa ni dunia yao.

Dunia ya Sasa service providers wote wanaangalia utatoa pesa ngapi kulingana na uhitaji wako. Hiyo ndiyo dunia tunayoishi kwa Sasa ambapo msingi wa kupata unachokihitaji ni shilingi unayomiliki. Huwezi kuepuka hili. Ndio Mana Leo hii ukitaka shamba huulizwi unafanya shughuli gani, Bali unashilingi ngapi?

Pesa itakapoondoka watu wataweka vipaumbele kujimilikisha medium of exchange itakayokuwepo. Who knows.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwanza lazima tuelewe dhana nzima ya maendeleo ni nini..."hali ya kupiga hatua kutoka katika hali duni kwenda katika hali nyingine iliyo bora zaidi",.na Ili tuendelee tunahitaji nini??kuna
*watu
*ardhi
*siasa safi
*uongozi bora
*mitaji...

Kwa hayo niliyoyasema wewe kama mleta mada,.unadhani maendeleo yanaletwa na mtu binafsi au kundi la watu????
Mleta mada anazungumzia maendeleo ya mtu binafsi, wewe unalenga maendeleo ya watu hapo lazima mtofautiane. mleta mada mbepari ww mjamaa...
Mimi naunga mkono kwamba maendeleo ya mtu huletwa na jitihada binafsi za muhusika kufikia malengo yake!!
 
Hata mm nakubali kuwa ili niendelee nahitaji kujifanyia juhudi zangu binafsi,.lakini je,kama hakuna utawala bora au siasa safi nitaweza kufikia malengo au kuendelea kwa viwango vya juu??hayo maelezo yangu nimeyatoa kwa ujumla hata mtu mmoja mmoja yanaweza kumgusa kwa upande mwingine.
 
Kwa mfumo wa maisha ya sasa; pesa ndiyo msingi wa kila kitu utacho hitaji!
Muhimu kutumia juhudi binafsi kujiongezea maarifa ambayo itakufanya kubuni mbinu za kupata pesa ambayo ndiyo chachu ya maendeleo!!
 
Hata mm nakubali kuwa ili niendelee nahitaji kujifanyia juhudi zangu binafsi,.lakini je,kama hakuna utawala bora au siasa safi nitaweza kufikia malengo au kuendelea kwa viwango vya juu??hayo maelezo yangu nimeyatoa kwa ujumla hata mtu mmoja mmoja yanaweza kumgusa kwa upande mwingine.
Inawezekana kama uta focus kwenye kile unacho kifanya, mwanasiasa ni rafiki wa aliyefanikiwa, hata sera zao zinawabeba zaidi waliofanikiwa!
Hata hapa kwetu pamoja na changamoto za kisiasa bado kuna watu walio fanikiwa..
 
Well mimi binasfi mtazamo wangu ninapoongelea maendeleo taswira inayonijia kichwani nikatika Nyanja tofauti kwanza ni kiuchumi,kiakili,kijamii apa naongela maendeleo ya mtu binafsi..nikija katika nyanja ya kiuchumi ni mtu kutoka uchumi mdogo kwenda uchumi wa kati au uchumi wa juu na nikiongele kiakili ni mtu kutoka lower stage kwenda middle au kiwa na ique ya juu (akili inayoweza kupambanua na Kudeal na mambo na kuona mambo kwa mtazamo chanya) na kijamii ni je mtu anamchango gani chanya kwenye Jamii sasa turudi kwenye Mada kimtazamo wangu mm nakubali kwamba maendeleo ya mtu yanaletwa na mtu binafsi pale atakapo amuua mtu binafsi mtu utakavo yaona maendeleo ndio jinsi yatakavokuja kwako ukiwa na lengo let say nataka niwe na maenendeleo ya kupanua akili labda ukaanza kusoma vitabu na kujifunza vitu tofauti tofauti uelewa wako na mtu ambae ajashughulisha akili yake itakua tofauti snaa pia kiuchumi ni hivo hivyo mtu anaejiejishughulisha ni tofauti na mtu aliekaa tu au mtu mwenye vision ya maendeleo ya kiuchumi nitofauti mtu ambae hana kabsa anawaza akipata pesa anawaza labda starehe tu na kadhalika...na maendeleo ya kijamii ni yale je umewezeshaje au umeisaidia vip jamii inayokuzunguka hayo pia ni maendeleo::uo ni mtazamo wangu mm..

Sent using Jamii Forums mobile app
 
And all in all kwa karne ya sasa mtu akisikia maendeleo kinachomjia kichwani ni pesa tu na kusahau kuna maendeleo ya vitu vingine lakin all in all juhudi za mtu binafsi ndio zinazoleta maendeleo ya mtu binafsi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ni moja Kati ya haya au yote.
1. Uwajibikaji. Huu ndio msingi wa mtu kufikia maendeleo wa asili kabisa.

2. Bahati/baraka/kudra/kismati. Huu ni upendeleo maalum ambao wachache Sana wanaupata na hua hauelezeki. Define unavoweza iwe ni kutoka kwa Mungu/Lucifer/mizimu/makini/malaika etc

3. Shortcut. Mifano km wizi, dhuluma, ufisadi nk.

NB: Kwa dunia ya Sasa msingi wa maendeleo ni pesa ambazo zitakupa Mali unazotaka.

Sent using Jamii Forums mobile app

Kwa Sera mbovu tulizonazo tusidanganye ukitaka kuwa tajiri kwa minajili ya kumiliki pesa nyingi ( sio hizi za kubadilishia mboga, kinyumba kimoja na gari kwa pesa za kuunga unga) hapa nazungumzia pesa.
Nakubaliana na wewe kabisa Ni either

1. Urithi Mali ( then uongeze uwajibikaji kwenye kujiendeleza na kuzizalisha)
2.ushirikina, kukwepa Kodi, dhuluma kwa wafanyabiashara, wizi na magendo
3. Kama Ni waajiriwa ili utajirike lazma uwe fisadi, mla rushwa bila hivi Ni waajiriwa wachache wanaoweza kujenga nyumba wakiwa makazini.

Mifumo na Sera za kiafrika Ni tofauti na ulaya au nchi zilizoendelea ambapo unaweza kufuatilia utajiri wa mtu kuanzia alipoanzia mpaka unavokua na serikali ya nchi zao huwasapoti kwa kila hatua.
 
Mtazamo wangu; Kwa zama hizi, maendeleo na pesa ni vitu viwili visivyotenganishwa.

Ili kuwa na maendeleo, unahitaji pesa ili utimize mambo mbalimbali, mfano kujenga nyumba, gari nk.

Nikirudi kwenye hoja kuu kama mbebari; Maendeleo ni juhudi za mtu binafsi katika kutafuta pesa kwa njia halali au si halali mfano, Ujambazi, magendo nk.

Ni mara chache au utatumia muda mrefu sana kuwa na pesa nyingi endapo utajikita katika juhudi halali za kutafuta pesa. Hivi, hushtuki, unalipwa mshahara laki 250, halafu unataka kuwa tajiri.Utafanya juhudi sana hapo.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom