Je, ni kweli mademu walio mbali na wenzi wao huchepuka maofisini?

Ubezea

JF-Expert Member
Jan 21, 2018
1,232
629
Wakuu umofia kwenu?

Je, ni kweli kuwa kwenye ndoa changa kama uko mbali na mwezi wako kuna uwezekano wa kuchepuka. Nimeskia kwa washkaji kuwa asilimia kubwa ya ndoa changa ambazo mume yuko mbali na mke, huwa ni mwendo wa kuchepuka tu.

Jamaa wanasema kuwa wanawala sana wake za watu wenye ndoa changa kwenye maofisini ambao wanafanya kazi sehemu moja.

Aidha wanasema kuwa ikitokea safari ya kikazi ndiyo sehemu murua wanapoenda kuwafaidi, maana huwa wanahakikisha wanapangiwa ruti moja na demu hivyo ni mwendo wa kusaliti tu.
 
Back
Top Bottom