Je, ni kweli Lavalava analala kwenye gari?

Je, ni kweli Lavalava analala kwenye gari?

Dotto Magari km jina lake linvyojieleza ni mtoto wa mzee Magari km unamfahamu muigizaji wa zamani bongo movie swaiba yake marehemu Kanumba na Ray ambae siku hizi anaishi Marekani kifupi dtto ni mtt wake wa kwanza
MAINDA MY DOUTA

images (6).jpeg
 
Nilizani promotion kwa lavalava kumbe ni kwa doto
 
Kulala kwenye gari ni sawa na kulala kwenye nyumba inayotembea. Mbona watu huwa wanatobea kwenye gari na haina tatizo!
Kuna mtu anapofundishia ndio analala hapo hapo.
 
Kulala kwenye gari ni sawa na kulala kwenye nyumba inayotembea. Mbona watu huwa wanatobea kwenye gari na haina tatizo!
Kuna mtu anapofundishia ndio analala hapo hapo.
Ila sio kwa msanii mkubwa kama yule akose hata chumba Kimoja na seble
 
Baada ya lavalava kuachia ngoma yake mpya aliyomshirikisha billnas, #beernyama#, dotto magari amakuja juu baada ya msemo wake mpya wa #hapa ipo# kutumika kwenye ngoma hiyo.

Kwenye interview aliyofanyiwa na carry story TV.

Aliwaponda sana wasanii hao haswa lava lava na kusema kuwa analala kwenye Gari plus ananuka miguu [emoji2957], na kwamba rizki yake ngumu mpaka akiamka asubuhi anaomba Mungu avae suruali haina mifuko kisa Hana hela.

Kwenu wadau mnaowafahamu vizuri wasanii mje mniambie.
Mwanaume hadi uje ujue dume mwenzio ananuka miguu inabidi uwe karibu naye sana.Hivi huyu Dotto ni Mkatoliki?
 
Ukisha jua itakusaidia nini kwenye maisha yako binafsi?

Mnawekeza akili zenu kwenye vitu vya kijinga na kupoteza muda kisha mnakuja kuanzisha Thread hapa JF za kulalamika kua eti maisha magumu.
 
Yaani tanzania kufa na njaa utake mwenyewe.
Ukiongea tu upumbavu upumbavu unakuwa star.unaanza kupewa madili
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom