jiwe angavu
JF-Expert Member
- Aug 28, 2015
- 19,110
- 35,943
hahaaaaa good point MkuuKinachoibeba rangi nyeupe popote pale ni ile hali ya kutambulika kwa haraka kupitia mng'ao wake na si kwamba ni Bora zaidi ya black. Nilikuwa cjadet na black kwani nilikuwa na mtazamo huo huo wako mwandishi, baada ya kujaribu mmoja nikaenda wa pili, nikaja kugundua kuwa Black is beautiful na watamu sana.
Sent using Jamii Forums mobile app
Inategemea na ushamba wa mtu.Hivi jamani kuna ukweli wowote kwamba wanawake weupe ni wazuri sana kuliko weusi maana marafiki zangu wanabisha sana kuhusu hilo na je ni kwanini mwanamke mweupe anaangaliwa sana barabarani kuliko mweusi wakiwa wameongozana.
FactSi wanawake tu kitu chochote chenye bright color huwa kina attract. Hata kwa wanaume akipita mwarabu na msouth Sudan wa kwanza utakayemuangalia ni muarabu. Black is beauty but not attractive
Weupe kama karatasi au? Weusi kama mkaa au?Hivi jamani kuna ukweli wowote kwamba wanawake weupe ni wazuri sana kuliko weusi maana marafiki zangu wanabisha sana kuhusu hilo na je ni kwanini mwanamke mweupe anaangaliwa sana barabarani kuliko mweusi wakiwa wameongozana.
Wengi wazuri sana kwa nje ila ndani hovyo!Hivi jamani kuna ukweli wowote kwamba wanawake weupe ni wazuri sana kuliko weusi maana marafiki zangu wanabisha sana kuhusu hilo na je ni kwanini mwanamke mweupe anaangaliwa sana barabarani kuliko mweusi wakiwa wameongozana.
Ungefafanua na race, mfano, mzungu, mhindi, mwarabu, au mmakonde.Hivi jamani kuna ukweli wowote kwamba wanawake weupe ni wazuri sana kuliko weusi maana marafiki zangu wanabisha sana kuhusu hilo na je ni kwanini mwanamke mweupe anaangaliwa sana barabarani kuliko mweusi wakiwa wameongozana.
Mwanamke kishundu tu vingine ivo ni nyongeza
Hizo ni nadharia tu mtu mweusi anajiaminisha ili ajione relevant lakini hakuna tofautiWengi wazuri sana kwa nje ila ndani hovyo!
Mfano demu wa kiarabu huwezi kulinganisha na mashine ya demu mweusi huwa ya moto halafu mnato
Sent using Jamii Forums mobile app
We feli darasani alafu jifanye unakipaji! Utauona moto.
Si wanawake tu kitu chochote chenye bright color huwa kina attract. Hata kwa wanaume akipita mwarabu na msouth Sudan wa kwanza utakayemuangalia ni muarabu. Black is beauty but not attractive