Je, ni kweli kuwa Dodoma CBD inaipiku Mwanza CBD?

Si tulikubaliana kwamba Mwanza inajengwa na private sector pekee serikali haihusiki...vp tena mwenzetu😀😀😀
Ulikubaliana na nani ...aliyekuambia NSSSF ni serikali nani ...au hujui maana ya social protection parastatal ... nsssf ni pesa za wafanyakazi wa sekta binafsi
 
IMG-20221106-WA0024.jpg
IMG-20221106-WA0011.jpg

Wakitoka hapo wanasema mwanza ni slum ...ila ukiwaomba walete neighborhood zao wanapost nyumba za NHC 😃😃😃....BWIRU 👆👆👆👆
 
aliyekuambia NSSSF ni serikali nani ...au hujui maana ya social
huko shule ulienda kusomea ujinga eti kwahiyo "National" Social Security Fund sio shirika la umma bali ni shirika binafsi😂😂😂. Kama ni mashirika binafsi inakuaje tena interviews za kazi wanafanyia Utumishi😂😂
 
View attachment 2986378View attachment 2986380
Wakitoka hapo wanasema mwanza ni slum ...ila ukiwaomba walete neighborhood zao wanapost nyumba za NHC 😃😃😃....BWIRU 👆👆👆👆
😂😂Kumbe NHC Dom ndio imejenga hizi neighborhoods👇👇
-Ilazo
-oysterbay
-kisasa
-area A
-area D
-area E
-mlimwa west
-medeli west
-magereza
-nyumba 300
-kisasa extension
-njedengwa extension
-Iringa road
-kilimani
-meriwa
-tambukareli
N.k
 
huko shule ulienda kusomea ujinga eti kwahiyo "National" Social Security Fund sio shirika la umma bali ni shirika binafsi😂😂😂. Kama ni mashirika binafsi inakuaje tena interviews za kazi wanafanyia Utumishi😂😂
Pesa za uwekezaji za NSSSF ni za wafanyakazi na raia wa sekta binafsi... NSSF ni shirika linalojitegemea kulinda hifadhi ya jamii ..ni kama ilivyo PSSSF kazi ya serikali humo ni kuratibu na kuregurate tu .... mashirika ya serikali ni kama TBA ,NHC ,TANESKO ambayo pesa za uwekezaji wake zinatoka serikali kuu ...ni Lini ulisikia serikali imetoa msaada kibajeti Kwa nsssf
 
😂😂Kumbe NHC Dom ndio imejenga hizi neighborhoods👇👇
-Ilazo
-oysterbay
-kisasa
-area A
-area D
-area E
-mlimwa west
-medeli west
-magereza
-nyumba 300
-kisasa extension
-njedengwa extension
-Iringa road
-kilimani
-meriwa
-tambukareli
N.k
Picha za hvi vijiji ziko wapi
 
Is NSSF a public entity or private entity? naomba jibu moja A au B ....😂😂
 
😂😂😂Hii sio thread ya studio ya kushindanisha picha tunashindanisha uhalisia..humu ni JF home of great thinkers wenye hoja kama zangu zilizoenda shule na facts tupu
Ukitumwa wenye hoja na facts utaenda wewe ....... unaongea bila vielelezo Wala figure facts zako ziko wapi
 
😂😂😂Hii sio thread ya studio ya kushindanisha picha tunashindanisha uhalisia..humu ni JF home of great thinkers wenye hoja kama zangu zilizoenda shule na facts tupu
Uhalisia una uprove kwa namna ipi mbona unakimbia kimbia. Unataka tuamini swaga zako?. Au basi tushindanishe maneno kwa maneno
 
Uhalisia una uprove kwa namna ipi mbona unakimbia kimbia. Unataka tuamini swaga zako?. Au basi tushindanishe maneno kwa maneno
hoja na facts based on clear evidence
..hatutegemei picha manake picha unaweza kuedit .Sikatai picha inaweza kuwa supportive lakini cha muhimu ni hoja+facts. Kwamfano mtu unamwambia Dom City inaongoza kwa mtandao mpana wa barabara za lami hapa Tanzania anabisha anakwambia leta picha😀😀😀sasa sijui anataka picha ya kila barabara zote za lami
 
😂😂Kumbe NHC Dom ndio imejenga hizi neighborhoods👇👇
-Ilazo
-oysterbay
-kisasa
-area A
-area D
-area E
-mlimwa west
-medeli west
-magereza
-nyumba 300
-kisasa extension
-njedengwa extension
-Iringa road
-kilimani
-meriwa
-tambukareli
N.k
Nyumba 300 ni mradi wa TBA (serikali)
 
Ukimwambia alete aerial photography za hiyo mitaa anaanza habari maelezo
Kawatafute "photo-journalists" wenzako ndio utapata hizo aerial pics. Mimi nakupa ground facts tupu ukibisha uje na hoja zinazoeleweka....unajificha kwenye kichaka cha picha😀😀 zamani ulikua unataka drone video😂😂
 
Usitufanye sisi hatujakaa kwenye hicho kijiji chako .....mitaa yote uliyoitaja yenye uafadhali ni ilazo ,area C ,na uzunguni .. kwingine kote ni takataka ....ni vijumba vyenye mapaa ya rangi na mitaa mikavu isiyoeleweka
 
Kawatafute "photo-journalists" wenzako ndio utapata hizo aerial pics. Mimi nakupa ground facts tupu ukibisha uje na hoja zinazoeleweka....unajificha kwenye kichaka cha picha😀😀 zamani ulikua unataka drone video😂😂
IMG-20221105-WA0005.jpg

Hutakaa uone neighborhood zenye duplex apartment Dodoma....
 
Dodoma ni poor ...mkinileteA apartments zinazopangishwa Kwa zaidi ya milioni 1 Kwa mwezi nitaamini dodoma inaizidi mwanza
Screenshot_20240510-224530.jpg
 
This is failure, Mwanza na ukubwa wote huo mapato ya hivyo tu🤔🤔🤔
Ukubwa kivip. Hiyo Dom eneo Lake 2000km² na zaid wamechukua hadi mashamba hukooo ya kilimo Mwanza 400km² na Viwanda vingi vinahamishiwa nje ya Jiji. Ukipigwa kubali sio kuhamisha magoli. Kwanza kwa hilo eneo la 2000km² mlipaswa kulingana na Dar kwa mapato
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom