Kuna akina mama wengine lakini iwa wanashindwa kutambua huyu mtoto baba yake ni yupi. Maana anapiga remix anatembea na kiserengeti boyz kuna muuza nyama kuna muuza genge kuna dereva taxi kuna pedeshee mwenye duka mama huyo huyo mmoja na kuna mmewe sasa mtoto akizaliwa hapo sijui kama mama anaweza tambua.
Wapo wanawake wanao fanya remix ya aina hii.
Kuna dada jirani yangu ameolewa harusi ya nguvu na kuzaa mtoto wa kiume!
Sasa yule mtoto ana 3 years- ila ukimwona mtoto yaani anafanana na baba mmoja tajiri wa hapo jirani!!!
Sasa baba analeo mtoto sii wake lakini ndo hivyo..nani amwambie??
Social dadies vs biological dadies!
Taabu ingine ni kuwa unakuta mme hana uwezo wa kumpa mimba mke wake![/QUOTE]
Yani hapa umelenga kama mimi ninavyotaka kufanya sasa, maana ni mwaka sasa na nusu toka niona naye, sijaenda hospitali kupima, yeye anawatoto. Sio eti natatizo...la, nilishawahi ku concive twice like 4 years ago. Ila nina feelings kama haitaji kuzaa na mimi na mimi sitaki kuzaa naye, na licha ya hiyo hao wake mwenyewe hawahudumii...sasa sembuse wangu itakuaje sasa. Yani maisha haya yani nyie acheni tuu watu wamechanganyikiwa kabisa.
Kuna dada jirani yangu ameolewa harusi ya nguvu na kuzaa mtoto wa kiume!
Sasa yule mtoto ana 3 years- ila ukimwona mtoto yaani anafanana na baba mmoja tajiri wa hapo jirani!!!
Sasa baba analeo mtoto sii wake lakini ndo hivyo..nani amwambie??
Social dadies vs biological dadies!
Taabu ingine ni kuwa unakuta mme hana uwezo wa kumpa mimba mke wake!
Yani hapa umelenga kama mimi ninavyotaka kufanya sasa, maana ni mwaka sasa na nusu toka niona naye, sijaenda hospitali kupima, yeye anawatoto. Sio eti natatizo...la, nilishawahi ku concive twice like 4 years ago. Ila nina feelings kama haitaji kuzaa na mimi na mimi sitaki kuzaa naye, na licha ya hiyo hao wake mwenyewe hawahudumii...sasa sembuse wangu itakuaje sasa. Yani maisha haya yani nyie acheni tuu watu wamechanganyikiwa kabisa.
Yani hapa umelenga kama mimi ninavyotaka kufanya sasa, maana ni mwaka sasa na nusu toka niona naye, sijaenda hospitali kupima, yeye ana watoto. Sio eti natatizo...la,
nilishawahi ku concive twice like 4 years ago. Ila nina feelings kama haitaji kuzaa na mimi na mimi sitaki kuzaa naye, na licha ya hiyo hao wake mwenyewe hawahudumii...sasa sembuse wangu itakuaje sasa. Yani maisha haya yani nyie acheni tuu watu wamechanganyikiwa kabisa.
it's fun ku-experience new styles, warmth etc ... utajua ukikua!Tatizo ni nini hadi mtu anaamua kutoka nje ya ndoa? maana mie huwa nashangaa sana kama mtu ulimpenda mkeo au mumeo na kuolewa kwa hiyari yako au kuoa kwa hiyari.Ya nini tena kwenda nje ya ndoa?
Tatizo ni nini hadi mtu anaamua kutoka nje ya ndoa? maana mie huwa nashangaa sana kama mtu ulimpenda mkeo au mumeo na kuolewa kwa hiyari yako au kuoa kwa hiyari.Ya nini tena kwenda nje ya ndoa?
Tatizo ni nini hadi mtu anaamua kutoka nje ya ndoa? maana mie huwa nashangaa sana kama mtu ulimpenda mkeo au mumeo na kuolewa kwa hiyari yako au kuoa kwa hiyari.Ya nini tena kwenda nje ya ndoa?
mbona kitu ni kile kile, kama mwanaume ni yule yule au mwanamke ni yule yule, mie naona itakuwa bora kama utamfundisha mwenzio nn unataka ili akupatie kuliko kutoka nje. maana sehemu zote za siri zinafanana kwa wanaume na wanawake.Kwani wewe mwenzetu unakulaga nyama ya ng'ombe kila siku? Ina maana hakuna siku ujisikiayo kula kuku ama samaki? Je siku ukijisikia una hamu ya kula kuku ama samaki ina maana nyama ya ng'ombe ina tatizo?
mbona kitu ni kile kile, kama mwanaume ni yule yule au mwanamke ni yule yule, mie naona itakuwa bora kama utamfundisha mwenzio nn unataka ili akupatie kuliko kutoka nje. maana sehemu zote za siri zinafanana kwa wanaume na wanawake.