Kuna usemi kuwa nayejua Baba wa Mtoto ni Mama.Hii inatokana na tabia ya wanawake wengi kuwabambikia Waume zao au wenzi wao mimba wakati wamepatiwa na wengine.Inatokea pale Msichana anapotaka kuolewa na Mtu mwenye fedha au Mwanaume aliyempenda lakini kwa bahati mbaya akapatiwa mimba na mwingine.Wakinamama wa JF ni kweli? na kwa Wanaume wa JF ni kweli tunabambikwa?