It's scientific answerbinafsi naona kuchoma sio njia nzuri ila tunachoma ili kurahisisha lkn it's not a perfect way,njia nzuri ni kuacha uchafu uoze wenyewe lkn kwasasa tuna aina tofauti tofauti za uchafu kama plastic ambazo ni ngumu kuoza na hata zikichomwa nyengine zina chemical ambazo huathiri mazingira so the nature systems it still the perfect and that why i have this slogan "mazingira yanaakili kutushinda" so kinachotakiwa ni kuyafuata to make it perfect.