Je, ni kweli kitu kilichopita kwa fundi kinapoteza ubora?

Je, ni kweli kitu kilichopita kwa fundi kinapoteza ubora?

Desierto

JF-Expert Member
Joined
Aug 26, 2019
Posts
847
Reaction score
2,954
Ni kifaa Gani ambacho unaamini kikipita kwa fundi kinakuwa kimeshuka ufanisi?

Watanzania wengi wanaamini kitu kikishafunguliwa tu basi kinakuwa sio Bora je ni wapo sahihi?
 
Kwani kilishushwa kutoka mbinguni, kilitengenezwa na fundi pia, mafundi wetu ni fundi mjaa na hawajui kazi wanazpzifanya hawana bifaa pia..
 
Siyo tu kupoteza ubora bali anakimalizia kbs hata kama kilikuwa cha kupona unampelekea fundi tv labda imegoma kuwaka ye anaibamo t con, unampelekea subwoofer anaibamo spka anakufungia ambayo ilishaga rekebshwa mpk bs.
 
Sio kweli, kwani vitu huharibika na kutengenezwa.
Ila inategemea nani katengeneza?
Inategemea na fundi, wengine wanafanya ili mradi tu dude liende na wengine wanajua wanalofanya.

Sasa hapo inategemea umempa nani
 
Kwa uelewa wangu navyojua vitu vingi vinapotengenezwa toka kiwandani huwa na vifaa vya aina mbili inavifaa vinavyodumu na kuna vifaa vinavyokufa baada ya muda so vinaitaji kubadirisha
Mfano simu kitu km kioo, batri hivi vimetengeneza ili vitumike kwa muda flan na baadae unaweza badirisha, lakin kuna ma chip na sensa ivi havijatengenezwa kubadirishwa na ukivibadiri kuna uwezekano kbsa wa icho kitu kufa au kutokua bora km ulivyokinunua. Asante.
 
Back
Top Bottom