OME123
JF-Expert Member
- Oct 4, 2010
- 1,497
- 606
Je ni kweli kampala ndo mzuri kwa majengo( fine buildings) ,barabara nzuri na sehemu za starehe mazuri kuliko jiji lolote Africa mashariki? Kuna report nimesoma kwa wajuzi wa haya mambo naombeni mnifumbue macho kwenye hili.kwani sijawahi kufika kampala,Nairobi na Dar es salaam nimewahi kufika.