Umenikumbusha kipindi cha uchaguzi na majibu ya baadhi ya watu eti'mimi siwezi kwenda kupiga kura,yeyote atakayeshinfa ashinde,kikubwa mimi napiga kazi zangu'.Mkuu mimi nahitaji umeme upatikane, hata ukizalishwa na shetani,
Kwa kutumia generator, gharama zinakuwa juu sana ktk kazi zangu,
Kumbe umeona, wabongo wengi walalamishi sana,, umeme hamna wanalaumu, umeme ukija wanalaumu,,Ukiona jamii yeyote imefanya ulalamishi kuwa jadi yake ,basi hiyo ni jamii iliyo jaa wapumbavu.
Ndio maana mm silalamiki kwa sababu najua hata nikilalamika sitabadilisha lolote.Kwahiyo wewe unatakaje??
Hebu jaribu na wewe kuchukua hatua... Usiishie kulalamika tu.
Alijitoa sadaka kizembe sana mana hakuna mkakati wowote aliuwacha angeangazia mambo matatu muhimu KATIBA,UHURU WA VYOMBO VYA HABARI NA TUME HURU YA UCHAGUZI alafu aondoke uone kama tungewashidwa hawa wezi..Nikiondoka mambo yatarudi palepale. Si ameondoka? Unategemea nini? Yote aliyaona ndio maana kasema alijitoa sadaka kwa akili ya Taifa la Tz
Juzijuzi watu waliandaliwa kisaikolojia, Mkurugenzi wa Tanesco alisema hawaogopi watafanya na private sekta.Kuna taarifa naiona kwamba IPTL imewasha mitambo na ishazalisha umeme na kuingiza TANESCO, huu ndiyo uhaba uliyokuwa unatengenezwa watu wapige pesa.
Hii migao ni ya kutengeneza watu wapige pesa.
Msinichoshe nisiwachoshe, twende tuone.View attachment 2435457
Mkuu mimi nahitaji umeme upatikane, hata ukizalishwa na shetani,
Kwa kutumia generator, gharama zinakuwa juu sana ktk kazi zangu,
Wewe Ndiyo Mchana Ccm Usiku Chadema[emoji38][emoji56][emoji38] tutakoma
Sana kubadilishiwa wizara,sio kupigwa chiniMi nilijua tu!
Mgao ulianza mapema sana,,,mwezi January baada ya kipara kuwa ndiye tena mvua zilikuwa Bado zinanyesha!!
Sasa ni rasmi kipara atabadilishiwa wizara au kupigwa chini baada ya mission kukamilika!
Mungu IBARIKI TANZANIA
Haya sasaUmenikumbusha kipindi cha uchaguzi na majibu ya baadhi ya watu eti'mimi siwezi kwenda kupiga kura,yeyote atakayeshinfa ashinde,kikubwa mimi napiga kazi zangu'.
Kizembe?,hivi unaelewa chochote kweli wewe mtoto wa kike kuhusu hii nchi?,wewe ni [emoji706][emoji706][emoji706]Alijitoa sadaka kizembe sana mana hakuna mkakati wowote aliuwacha angeangazia mambo matatu muhimu KATIBA,UHURU WA VYOMBO VYA HABARI NA TUME HURU YA UCHAGUZI alafu aondoke uone kama tungewashidwa hawa wezi..
Sijui kwanini pesa haitosheki, yani hawavimbiwi tuuKuna taarifa naiona kwamba IPTL imewasha mitambo na ishazalisha umeme na kuingiza TANESCO, huu ndiyo uhaba uliyokuwa unatengenezwa watu wapige pesa.
Hii migao ni ya kutengeneza watu wapige pesa.
Msinichoshe nisiwachoshe, twende tuone.View attachment 2435457
Wakala huwa hatosheki abadani!Sijui kwanini pesa haitosheki, yani hawavimbiwi tuu
% inaenda chama chawalaWakala huwa hatosheki abadani!