Je ni kweli haya ma vyeo yako mengi?

Nichumu Nibebike

JF-Expert Member
Aug 28, 2016
8,658
15,793
Makada wa chama waliondolewa wasi wasi na boss wao kwa kuambiwa kuwa haya mavyeo yako mengi...
Je ni kweli haya ma vyeo yako mengi?
Mbinu ninayoiona inatumika hapa ni substitution method. Yan mchezaji mmoja anapewa red card alafu mchezaji mwingine ndio anaingizwa uwanjani...
Ii kila mchezaji aweze kucheza angalau dk kumi na tano na kuchuma kidogo, kupata nafasi ya kushangiliwa, ku warm up na kujiona kuwa amekumbukwa, mfalme hana njia mbadala. Mliotumbuliwa msiwe na hasira. Namba za wachezaji ni hizo hizo 12, ili kila mchezaji (mwanasiasa) apate nafasi ya kucheza hakuna namna. Lazima huyu atumbuliwe ili aingie na mwingine...
 
Sielewi elewi hapa.Ngoja nikaweke foleni ya mihogo kwanz nahisi nina njaa
 
Back
Top Bottom