long live my love
JF-Expert Member
- Feb 23, 2014
- 1,030
- 979
Nitafurahi sana ikiwa sheria iko hivyo. Maana atakuwa sero, na atagombea mtu mwingine. Hilo litakuwa somo kwake tosha.
Kwani hiyo sero iko nje ya jimbo lake ?
Nitafurahi sana ikiwa sheria iko hivyo. Maana atakuwa sero, na atagombea mtu mwingine. Hilo litakuwa somo kwake tosha.
Nitafurahi sana ikiwa sheria iko hivyo. Maana atakuwa sero, na atagombea mtu mwingine. Hilo litakuwa somo kwake tosha.
Yaani wana arusha wanataka apotee kabisa kwenye anga za siasa ili liwe fundisho la kudharau mamlaka. Unajua arusha hawataki kabisa kumsikia ndiyo maana hata mahakamani hawaendi kumuangalia. Yaani hata kumsalimia pale gerezani hawaendi maana kesha wachosha kabisa. Na wana Arusha wengi wanatamani hata uchaguzi ungerudiwa leo ili wampige chini mharifu huyu anayesota seroKwani hiyo sero iko nje ya jimbo lake ?
Naona wewe unaota mchana kweupe kabisa. Jamaa yupo Sero, yaani anayea ndoo a.k.a debe. Naona sasa wana ufipa mmeishiwa kabisa pumzi, hahahahakuwa makini na ndoto zako usije ukaota unajamba ukashtuka usingizini ukajikuta umejinyea.
na haitokaa itokeeNitafurahi sana ikiwa sheria iko hivyo. Maana atakuwa sero, na atagombea mtu mwingine. Hilo litakuwa somo kwake tosha.
kuwa makini na ndoto zako usije ukaota unajamba ukashtuka usingizini ukajikuta umejinyea.Naona wewe unaota mchana kweupe kabisa. Jamaa yupo Sero, yaani anayea ndoo a.k.a debe. Naona sasa wana ufipa mmeishiwa kabisa pumzi, hahahaha
Oh kamanda, mbona inaenda kutokea. Si unasikia anaumwa sasa hivi, maana yake siku zinaenda na zinapita. Pia mawakili wa serikali kwa umakini kabisa wanahakikisha wanatumia akili za juu kabisa asiile ile sikukuu ya kuabudu mizimu ya watu wa kule milimani.na haitokaa itokee
inaonyesha ni jinsi gan usivyo mpenda mwenzio (Lema)Nitafurahi sana ikiwa sheria iko hivyo. Maana atakuwa sero, na atagombea mtu mwingine. Hilo litakuwa somo kwake tosha.
Kamuulize kama yeye alikuwa anampenda nyeupe enzi zile anajitanabaisha kuwa kumzomea fisadi ni heshima kwa Munguinaonyesha ni jinsi gan usivyo mpenda mwenzio (Lema)
Kamuulize kama yeye alikuwa anampenda nyeupe enzi zile anajitanabaisha kuwa kumzomea fisadi ni heshima kwa Mungu
Haya umeshinda Mudawote..............
Atagombea mkewe au mwanae na atapita kwa asilimia tisini na Tisa point Tisa tusa ,una lingine?Nitafurahi sana ikiwa sheria iko hivyo. Maana atakuwa sero, na atagombea mtu mwingine. Hilo litakuwa somo kwake tosha.
Kwani eneo la kazi LA mbunge Si ni jimboni kwake? Na gereza la kisongo Si liko jimboni kwake?!!! Tuliza brainWakuu kuna tetesi nimesikia kuwa mbunge asipokuwa katika eneo lake la kazi kwa zaidi ya siku 90 uchaguzi mpya utaitishwa
Je ni kweli?
Uzii huu usifutwe bali tuelimishane
we unaota mchanaYaani wana arusha wanataka apotee kabisa kwenye anga za siasa ili liwe fundisho la kudharau mamlaka. Unajua arusha hawataki kabisa kumsikia ndiyo maana hata mahakamani hawaendi kumuangalia. Yaani hata kumsalimia pale gerezani hawaendi maana kesha wachosha kabisa. Na wana Arusha wengi wanatamani hata uchaguzi ungerudiwa leo ili wampige chini mharifu huyu anayesota sero