Je ni kweli degree sio ishu tena?

Je ni kweli degree sio ishu tena?

proff g

Senior Member
Joined
Jul 16, 2016
Posts
149
Reaction score
115
Kuna mtazamo flani au mawazo flani yalijengeka kwa watanzania kwamba kuwa na elimu YA degree sio issue tena lakn hii imetokana nakutokuwa na uongoz mzur wa kufanya elimu yeti iwe na thaman lakn Sasa Naona heshima itarudi kwenye elimu yetu
 
Back
Top Bottom