gentleman,JE NI KWELI CHADEMA IMEKUFA?
Habari ya jioni wadau
Hili ni swali ambalo nimekuwa nikijiuliza sana baada ya kuona nguvu kubwa inayotumika mitandaoni kuaminisha watu kwamba chadema ipo hoi, imekufa, imepoteza mvuto.
Jambo linalonishangaza ni pale napoona mijadala mikali kukashifu chama ambacho tunaaminishwa kimekufa. Ni sawa na wewe kusema jirani yako ni dhaifu hawezi shindana nawe. Afu kila siku unatumia nguvu kupambana na mtu aliye dhaifu.
CCM kama mnatuaminisha CHADEMA imekufa, tunaomba msitumie nguvu kupambana na chama kilichokufa. Hizo nguvu muelekeze katika kufanya mambo ya msingi.
Kama CCM itaendelea kutumia nguvu kupambana na CHADEMA basi ni ngumu kuniaminisha kwamba CHADEMA imekufa
Kama CHADEMA imekufa basi ccm imeoza kabisaπJE NI KWELI CHADEMA IMEKUFA?
Habari ya jioni wadau
Hili ni swali ambalo nimekuwa nikijiuliza sana baada ya kuona nguvu kubwa inayotumika mitandaoni kuaminisha watu kwamba chadema ipo hoi, imekufa, imepoteza mvuto.
Jambo linalonishangaza ni pale napoona mijadala mikali kukashifu chama ambacho tunaaminishwa kimekufa. Ni sawa na wewe kusema jirani yako ni dhaifu hawezi shindana nawe. Afu kila siku unatumia nguvu kupambana na mtu aliye dhaifu.
CCM kama mnatuaminisha CHADEMA imekufa, tunaomba msitumie nguvu kupambana na chama kilichokufa. Hizo nguvu muelekeze katika kufanya mambo ya msingi.
Kama CCM itaendelea kutumia nguvu kupambana na CHADEMA basi ni ngumu kuniaminisha kwamba CHADEMA imekufa
Kama mnaamini cdm imekufa basi punguzeni nguvu kubwa mnayoitumia kupambana na chama mfu (cdm)gentleman,
atiba ya mazishi na salamu za rambirambi kufuatia kifo cha chadema, muwakilishi wa chademag55, ameahidi kutoa muelekeo katika muda usio kua mrefu, baada ya mashauriana na uongozi, kabla ya kumpumzisha chadema kwenye nyumba yake ya milele,
kwa sasa,
ni muhim kua wastahimilivu na wenye subra katika kipindi hiki kigumu ambacho, ndoto za wanachadema maelfu, nazo zimekufa na kuuawa sambamba na chadema Taifa kwasababu ya uropokaji wa wa kizembe kabisa wa viongozi wasio na maono π
Unapoteza nguvu zako kujibishana na huyo kiaziKama mnaamini cdm imekufa basi punguzeni nguvu kubwa mnayoitumia kupambana na chama mfu (cdm)
Hiyo nguvu kubwa inayotumika kwa chadema inatumika kwa sababu gani sasa?Zamani sana
Hiyo chadomo mazishi yake yanamsubiri m/kiti wake kutoka gerezani.JE NI KWELI CHADEMA IMEKUFA?
Habari ya jioni wadau
Hili ni swali ambalo nimekuwa nikijiuliza sana baada ya kuona nguvu kubwa inayotumika mitandaoni kuaminisha watu kwamba chadema ipo hoi, imekufa, imepoteza mvuto.
Jambo linalonishangaza ni pale napoona mijadala mikali kukashifu chama ambacho tunaaminishwa kimekufa. Ni sawa na wewe kusema jirani yako ni dhaifu hawezi shindana nawe. Afu kila siku unatumia nguvu kupambana na mtu aliye dhaifu.
CCM kama mnatuaminisha CHADEMA imekufa, tunaomba msitumie nguvu kupambana na chama kilichokufa. Hizo nguvu muelekeze katika kufanya mambo ya msingi.
Kama CCM itaendelea kutumia nguvu kupambana na CHADEMA basi ni ngumu kuniaminisha kwamba CHADEMA imekufa
Kwan viongoz waliachiwa baada ya polisi kuogopa watu gani waliowaandama?mfano pale Kariakoo kwa kweli ni aibu kusema Chadema inapendwa ,maana sikuona kufuatwa kwa ukaribu na wananchi ,viongozi wakionekana peke yao eti wameshikana kuonyesha mshikamano wakielekea kituo cha polisi au ndio walifanya vile ili wananchi tuseme wanachama nao wajiunge kushikana mikono ,ila hapakuonekana mwanachama wala mfuasi nae kuunganisha mikono ya bega kwa bega,tuseme waliachwa sokoni.
Hayo madhaifu si ndio furaha yenu, kingine nini mnataka?Viongozi wa chadema wanaovaa kama mgambo ,wameanza kudharauliwa na wananchi ,na kila kukicha wanazidi kuonyesha mapembe yao ,ni wazi siasa hawana na hawaijui, wanahisi kusema mpaka ukatokwa na mishipa ya shingo ndio siasa, huwezi kutongoza ikiwa umekasirika ,sasa unapokuwa tokea mwanzo mpaka mwisho unahutubia kwa muonekano na sauti ya hasira , uelewe wananchi huwa hawasikilizi na kuyatia akilini unayowaeleza bali wanavutiwa na namna unavyo rapu ,wanakufurahia wanakupigia makofi ukidhani wamekuelewa kumbe hapana wanashangilia unavyopiga chenga ,mpira ukimaliza watu wanachawanyika wakisifia ulivyosema bila ya kuyapa umuhimu wa kuyafanyia kazi au kuyatekeleza ,
mfano pale Kariakoo kwa kweli ni aibu kusema Chadema inapendwa ,maana sikuona kufuatwa kwa ukaribu na wananchi ,viongozi wakionekana peke yao eti wameshikana kuonyesha mshikamano wakielekea kituo cha polisi au ndio walifanya vile ili wananchi tuseme wanachama nao wajiunge kushikana mikono ,ila hapakuonekana mwanachama wala mfuasi nae kuunganisha mikono ya bega kwa bega,tuseme waliachwa sokoni.
Chama kilichokufa kinajulikana na sasa kinapumua kwa msaada wa dola tu.gentleman,
atiba ya mazishi na salamu za rambirambi kufuatia kifo cha chadema, muwakilishi wa chademag55, ameahidi kutoa muelekeo katika muda usio kua mrefu, baada ya mashauriana na uongozi, kabla ya kumpumzisha chadema kwenye nyumba yake ya milele,
kwa sasa,
ni muhim kua wastahimilivu na wenye subra katika kipindi hiki kigumu ambacho, ndoto za wanachadema maelfu, nazo zimekufa na kuuawa sambamba na chadema Taifa kwasababu ya uropokaji wa wa kizembe kabisa wa viongozi wasio na maono π
CDM ndio chama pekee kinachoshindana na vyama 18 + dola+Bunge + Mahakama na mamluki wakukodi ndani ya CDM na kinawagalagaza woteViongozi wa chadema wanaovaa kama mgambo ,wameanza kudharauliwa na wananchi ,na kila kukicha wanazidi kuonyesha mapembe yao ,ni wazi siasa hawana na hawaijui, wanahisi kusema mpaka ukatokwa na mishipa ya shingo ndio siasa, huwezi kutongoza ikiwa umekasirika ,sasa unapokuwa tokea mwanzo mpaka mwisho unahutubia kwa muonekano na sauti ya hasira , uelewe wananchi huwa hawasikilizi na kuyatia akilini unayowaeleza bali wanavutiwa na namna unavyo rapu ,wanakufurahia wanakupigia makofi ukidhani wamekuelewa kumbe hapana wanashangilia unavyopiga chenga ,mpira ukimaliza watu wanachawanyika wakisifia ulivyosema bila ya kuyapa umuhimu wa kuyafanyia kazi au kuyatekeleza ,
mfano pale Kariakoo kwa kweli ni aibu kusema Chadema inapendwa ,maana sikuona kufuatwa kwa ukaribu na wananchi ,viongozi wakionekana peke yao eti wameshikana kuonyesha mshikamano wakielekea kituo cha polisi au ndio walifanya vile ili wananchi tuseme wanachama nao wajiunge kushikana mikono ,ila hapakuonekana mwanachama wala mfuasi nae kuunganisha mikono ya bega kwa bega,tuseme waliachwa sokoni.
Yes,Chama kilichokufa kinajulikana na sasa kinapumua kwa msaada wa dola tu.
Watz wameshakichoka na sasa kinatumia dola na pesa za wavusha jasho kuhonga watuhasa maskini ili kikubalike