Shark
JF-Expert Member
- Jan 25, 2010
- 29,932
- 30,045
Hili zoezi lingeanzia dar lingefeli
Mkuu nimecheka huku nasinzia. Kweli kabisa kwa uchokonozi wa jiji hili hilo zoez lisingefika hata chalinze
Hili zoezi lingeanzia dar lingefeli
kama huna uhakika unatuletea huu udaku hapa wa nini? peleka kule jukwaa la jokes au mapenzi.Leo jioni nikiwa napita eneo moja karibu na kituo cha uandikishaji wapiga kura kulikuwa na zogo. Madai ni kwamba kituoni hapo imebainika mashine moja ya BVR imeonesha imeshakuwa na majina 1000 ya wapiga kura katika kituo hicho wakati ilikuwa ndio kwanza mtu wa kwanza anaandikishwa kituoni hapo.
Kama ni kweli kwamba machine zinakuwa tayari zimejazwa majina feki ya kituo husika kabla ya kuandikwa majina halisi wa kituo husika; hili ni jambo la hatari sana kwa mustakabali wa demokrasia na amani ya taifa hili.
ANGALIZO: Tuwe makini kwa taarifa kama hizi LAKINI pia tusizipuuze.
UKITAKA EVIDENCE KWA KILA JAMBO KUNA WAKATI ITAKUGHALIMU! UTAKUWA UMESHAATHIRIKA UTAKAPOPATA EVIDENCE YA MWANAMKE MWENYE VVU BAADA YA KUTEMBEA NAE KWA SABABU ULIBISHI ULIPOAMBIWA TANGU MWANZO UKASEMA MPAKA EVIDENCE!!!
CHA MSINGI NI KUTAFAKARI NA KUTAFAKARI YANAYOSEMWA, HUENDA YAKAWEPO AU YASIWEPO. YOTE YANAWEZEKANA!!!:juggle:
mkuu walichofanya ni zile mashine karibia zote zilizokuwa mikoani zimekusanywa hapo ili kurahisisha zoezi. Ndo maana wameweka huo mkoa kuwa wa mwisho kwa ajili ya kupata mashine nyingi kwa wakati mmoja kutokana na population ya hapo.Kama mashine ni mpya na haijatumika kabisa haitakuwa na majina ila kama ilitumika mkoani majina yote ya mkoani yanabaki kwenye kit hayafutwi mpaka mwisho wa zoezi.
Pengine hilo ndilo lile goli la mkono ambalo Nape alitamba nalo kuwa ni lazima CCM walifunge mwaka huu kubeba ushindi dhidi ya wapinzani kwenye uchaguzi mkuu.Leo jioni nikiwa napita eneo moja karibu na kituo cha uandikishaji wapiga kura kulikuwa na zogo. Madai ni kwamba kituoni hapo imebainika mashine moja ya BVR imeonesha imeshakuwa na majina 1000 ya wapiga kura katika kituo hicho wakati ilikuwa ndio kwanza mtu wa kwanza anaandikishwa kituoni hapo.
Kama ni kweli kwamba machine zinakuwa tayari zimejazwa majina feki ya kituo husika kabla ya kuandikwa majina halisi wa kituo husika; hili ni jambo la hatari sana kwa mustakabali wa demokrasia na amani ya taifa hili.
ANGALIZO: Tuwe makini kwa taarifa kama hizi LAKINI pia tusizipuuze.
Wote mkisoma hapa bila shaka hamtauliza tena juu ya upya wa BVR KIT,na nashangaa kwa nini mnauliza kama ni mpya au la maana Jaji Lubuva alisema kua Mashie zote zilizokua mikoani zitahamia Dar.
Na pia kama kila mkoa zingekua mpya basi kila sehemu ingekua na zake mpya na zoezi lingeanza kwa pamoja.
Kufake majina ni ngumu maana kila kadi inayotoka ndo inayotunziwa data.
Mfano kuna zile Printed,updated na reprinted.
Ni vema tu kuelimishana endapo mtu atatia hofu juu ya zoezi hili
mkuu hii ni dalili za tume kutoaminika, watu hawaiamini kabsaa kwani historia inaonesha kuwa baadhi ya maofisa wa tume wamehusika kufanya upuuzi
Kumbuka hizo machine (BVR) ndizo zinazunguka nchi nzima kwa maana zikitoka zone moja zinakwenda nyingine. Kwa hivyo zimetumika mahala pengine na hiyo unayoiona hapo ni counter ya watu waliokwisha andikishwa kupitia mashine hiyo. Kwa ufahamu wangu ni kuwa kila BVR ina generate namba zake ndio maana kila kitambulisho kina namba zake ambazo haziwezi kufanana na namba za kitambulisho kingine, kwa msingi huo lazima mashine iwe na counter la si hivyo inaweza kuwapa watu kadhaa namba moja. Kwa hio hilo sio tatizo.Leo jioni nikiwa napita eneo moja karibu na kituo cha uandikishaji wapiga kura kulikuwa na zogo. Madai ni kwamba kituoni hapo imebainika mashine moja ya BVR imeonesha imeshakuwa na majina 1000 ya wapiga kura katika kituo hicho wakati ilikuwa ndio kwanza mtu wa kwanza anaandikishwa kituoni hapo.
Kama ni kweli kwamba machine zinakuwa tayari zimejazwa majina feki ya kituo husika kabla ya kuandikwa majina halisi wa kituo husika; hili ni jambo la hatari sana kwa mustakabali wa demokrasia na amani ya taifa hili.
ANGALIZO: Tuwe makini kwa taarifa kama hizi LAKINI pia tusizipuuze.
Acha mambo ya VVU weweUKITAKA EVIDENCE KWA KILA JAMBO KUNA WAKATI ITAKUGHALIMU! UTAKUWA UMESHAATHIRIKA UTAKAPOPATA EVIDENCE YA MWANAMKE MWENYE VVU BAADA YA KUTEMBEA NAE KWA SABABU ULIBISHI ULIPOAMBIWA TANGU MWANZO UKASEMA MPAKA EVIDENCE!!!
CHA MSINGI NI KUTAFAKARI NA KUTAFAKARI YANAYOSEMWA, HUENDA YAKAWEPO AU YASIWEPO. YOTE YANAWEZEKANA!!!:juggle:
aiseee kwa kweli mm niwe wa kwanza kusema haki yangu kama ndio hivi nimeipoteza aiseee.
hili suala tunataka kuonana mafara maana kwa hesabu ya kawaida kabisaa hili zoezi hatuwezi andikishwa wote leo asubuhi nimeamka nikasema ngoja nipitie nijiandikishe nakutana na watu kundi kubwa sana wapo tokea sijui saa 10 wanasubili mashine zifike ili wajiandikishe.
nikaondoka kuja kurudi kwenye mida ya saa 5 hivi nikaambiwa namba zishatolewa mpaka za kesho kutwa.
maana wamesema kwa siku wanaandikisha watu 150 tuu.
kila nikipiga hesabu zangu za mda naona kabisa sito weza kwa kweli
Wote mkisoma hapa bila shaka hamtauliza tena juu ya upya wa BVR KIT,na nashangaa kwa nini mnauliza kama ni mpya au la maana Jaji Lubuva alisema kua Mashie zote zilizokua mikoani zitahamia Dar.
Na pia kama kila mkoa zingekua mpya basi kila sehemu ingekua na zake mpya na zoezi lingeanza kwa pamoja.
Kufake majina ni ngumu maana kila kadi inayotoka ndo inayotunziwa data.
Mfano kuna zile Printed,updated na reprinted.
Ni vema tu kuelimishana endapo mtu atatia hofu juu ya zoezi hili.
Ni kweli, itakuwa majina yale(kama kweli yalikuwepo) yatakuwa niya vituo vilivyotangulia kutumia mashine hizo.
acha mambo ya vvu wewe
Acha mambo ya VVU wewe
Wewe mama yako alipokuambia kwamba mimi ndiye baba yako mbona ulikubali?Kama unabisha una evidence kuwa baba yako ndio huyo? Au uliAMINI kauli za mother wako tu hata DNA hujapima
Ayaaa,wameshakatwa.......
na mwenye uwezo wa kuona hayo majina ni operator sasa how comes mtu abaini kua kuna majina kama hayo.dah bongo noma aisee,inamaana aliyesema kua kuna majina ni mmoja kati ya wahusika sasa.