Je! Ni Kweli BVR Machine zina Background Database of Pseudonames?

1954tanu

JF-Expert Member
Joined
Jul 19, 2013
Posts
1,038
Reaction score
487
Leo jioni nikiwa napita eneo moja karibu na kituo cha uandikishaji wapiga kura kulikuwa na zogo. Madai ni kwamba kituoni hapo imebainika mashine moja ya BVR imeonesha imeshakuwa na majina 1000 ya wapiga kura katika kituo hicho wakati ilikuwa ndio kwanza mtu wa kwanza anaandikishwa kituoni hapo.

Kama ni kweli kwamba machine zinakuwa tayari zimejazwa majina feki ya kituo husika kabla ya kuandikwa majina halisi wa kituo husika; hili ni jambo la hatari sana kwa mustakabali wa demokrasia na amani ya taifa hili.

ANGALIZO: Tuwe makini kwa taarifa kama hizi LAKINI pia tusizipuuze.
 
Mwalimu Nyere aliwahi kusema Dar ni Jiji la Majungu
 
Kama mashine ni mpya na haijatumika kabisa haitakuwa na majina ila kama ilitumika mkoani majina yote ya mkoani yanabaki kwenye kit hayafutwi mpaka mwisho wa zoezi.
 
Kwanza niseme nilipata nafasi ya kuwa muandikishaji kwa kutumia hizo mashine katika mkoa wa Lindi. Mashine hizo zinatunza kumbukumbu za majina yote yaliyowahi kuandikishwa kwa kutumia mashine hiyo. Majina hayo yanakuwa ni ya aina mbili, ambayo hupatiaka kwenye sehemu inayoitwa VOTERS ON KIT

1-kwanza yapo yale ambayo yanajulikana kama training, haya ni yale ambaye yalitumika wakati ule wa kuwapa mafunzo ya vitendo waandikishaji, majina haya utoa kadi ambazo nazo huwa zimeandikwa kabisa training

2. Mengine ni yale ambayo yalishaandikishwa kwaajili ya upigaji kura kutoka katika vituo vilivyotumia mashine hizo apo awali na yanayoendelea kuandikishwa kila siku.

Hivyo basi uwepo wa majina mengine hakuna maana mbaya na ndio maana mawakala wanashauriwa kuchukua jina la mtu wa mwisho anayeandikishwa katika siku husika, ili siku inayofuata waanzie kwenye jina lile la mwisho na kuendelea.
 
Hii habari ina vimelea na viini vya uchochezi. Habari yako hii ni kama hadithi za kufikirika na kusadikika, haina evidence.
 
aiseee kwa kweli mm niwe wa kwanza kusema haki yangu kama ndio hivi nimeipoteza aiseee.
hili suala tunataka kuonana mafara maana kwa hesabu ya kawaida kabisaa hili zoezi hatuwezi andikishwa wote leo asubuhi nimeamka nikasema ngoja nipitie nijiandikishe nakutana na watu kundi kubwa sana wapo tokea sijui saa 10 wanasubili mashine zifike ili wajiandikishe.

nikaondoka kuja kurudi kwenye mida ya saa 5 hivi nikaambiwa namba zishatolewa mpaka za kesho kutwa.
maana wamesema kwa siku wanaandikisha watu 150 tuu.

kila nikipiga hesabu zangu za mda naona kabisa sito weza kwa kweli
 
Hii habari ina vimelea na viini vya uchochezi. Habari yako hii ni kama hadithi za kufikirika na kusadikika, haina evidence.

UKITAKA EVIDENCE KWA KILA JAMBO KUNA WAKATI ITAKUGHALIMU! UTAKUWA UMESHAATHIRIKA UTAKAPOPATA EVIDENCE YA MWANAMKE MWENYE VVU BAADA YA KUTEMBEA NAE KWA SABABU ULIBISHI ULIPOAMBIWA TANGU MWANZO UKASEMA MPAKA EVIDENCE!!!

CHA MSINGI NI KUTAFAKARI NA KUTAFAKARI YANAYOSEMWA, HUENDA YAKAWEPO AU YASIWEPO. YOTE YANAWEZEKANA!!!:juggle:
 
Nashawishika kukubaliana na hoja ya mkisoka pale juu, inasound logical. Kweli hili zoezi lingeanzia dar lingefeli.
 
Last edited by a moderator:
Kama mashine ni mpya na haijatumika kabisa haitakuwa na majina ila kama ilitumika mkoani majina yote ya mkoani yanabaki kwenye kit hayafutwi mpaka mwisho wa zoezi.

hayafutwi kamwe,ndo yanaingia katika database,ndo maana wanachukua hadi namba za simu.
siku ukifanya uhalifu ukadhani haupatikani,unastukia vijana wa kova wanakubishia hodi...
 
Leo jioni nikiwa napita eneo moja karibu na kituo cha uandikishaji wapiga kura kulikuwa na zogo. Madai ni kwamba kituoni hapo imebainika mashine moja ya BVR imeonesha imeshakuwa na majina 1000 ya wapiga kura katika kituo hicho wakati ilikuwa ndio kwanza mtu wa kwanza anaandikishwa kituoni hapo.

Kama ni kweli kwamba machine zinakuwa tayari zimejazwa majina feki ya kituo husika kabla ya kuandikwa majina halisi wa kituo husika; hili ni jambo la hatari sana kwa mustakabali wa demokrasia na amani ya taifa hili.

ANGALIZO: Tuwe makini kwa taarifa kama hizi LAKINI pia tusizipuuze.

Mm nikishajiamdikisha hata walete majina feki 100000 shauri zao maana wakiamua kuiba hata ufanyeje wataiba tu
 
Watu km mtoa ndo wanaleta hasira kwa raia kwa kupost habari za uongo
 
Mzee huo ushamba sasa.
Hizi mashine unaweza ukaiona mpya kumbe ishatumika kwingine .
 
Kwanza niseme nilipata nafasi ya kuwa muandikishaji kwa kutumia hizo mashine katika mkoa wa Lindi. Mashine hizo zinatunza kumbukumbu za majina yote yaliyowahi kuandikishwa kwa kutumia mashine hiyo. Majina hayo yanakuwa ni ya aina mbili, ambayo hupatiaka kwenye sehemu inayoitwa VOTERS ON KIT

1-kwanza yapo yale ambayo yanajulikana kama training, haya ni yale ambaye yalitumika wakati ule wa kuwapa mafunzo ya vitendo waandikishaji, majina haya utoa kadi ambazo nazo huwa zimeandikwa kabisa training

2. Mengine ni yale ambayo yalishaandikishwa kwaajili ya upigaji kura kutoka katika vituo vilivyotumia mashine hizo apo awali na yanayoendelea kuandikishwa kila siku.

Hivyo basi uwepo wa majina mengine hakuna maana mbaya na ndio maana mawakala wanashauriwa kuchukua jina la mtu wa mwisho anayeandikishwa katika siku husika, ili siku inayofuata waanzie kwenye jina lile la mwisho na kuendelea.

Wote mkisoma hapa bila shaka hamtauliza tena juu ya upya wa BVR KIT,na nashangaa kwa nini mnauliza kama ni mpya au la maana Jaji Lubuva alisema kua Mashie zote zilizokua mikoani zitahamia Dar.
Na pia kama kila mkoa zingekua mpya basi kila sehemu ingekua na zake mpya na zoezi lingeanza kwa pamoja.

Kufake majina ni ngumu maana kila kadi inayotoka ndo inayotunziwa data.

Mfano kuna zile Printed,updated na reprinted.

Ni vema tu kuelimishana endapo mtu atatia hofu juu ya zoezi hili.
 
Back
Top Bottom