Je ni kweli body ya mkopo imetoa majina waliofanya vibay kujaz fom ya mkopo

Jun 27, 2019
14
3
ndugu zangu naomb kujua kam ni kweli majina yametolewa na body ya mkopo kwa waliojaza fom vbya na kam kuna taarfa zaid kuusu body ya mkopo naomb tujulishane
 
Hivi hizi taarifa huwa mnazitoaga wapi... Mbona kuna makala kibao za maelekezo na sehemu husika za kuoata maelekezo juu ya masuala ya loan.

Sasa mtu kma wewe ndio tunakutegemea soon ukaitwe msomi ya elimu ya juu.

Ni very sad.
Kwa nin usiumize kichwa kufuatilia mambo yanayokuhusu ili upate data za kina??

Kwa maana hii sidhan hata kama unajua wapi utapata info za mkopo wako
 
KAMA UNA KAUWEZO HATA KADOGO TU NAKUSHAURI UJISOMESHE NA UACHANE NA MKOPO...

NARUDIA TENA... KAA MBALI NA MKOPO WA LOAN BOARD.

UTAKUMBUKA HII POST YANGU SIKU UKIAJIRIWA.
 
Kwa msio jua tu body ya mkopo ni hivi
Nenda crdb au nmb weka kitambi kidogo chomekea be smart make sure una tembea kwa mikogo ukifika pale salamu kwa sekunde tu ukiulizia tu mkopo ushapata bila kujaza fomu
 
Mtu akiuliza jambo ni vizuri kumsaidia tu haijalishi kakosea kuandika neno kwani kukosea kwa leo si kukosea kwa kesho neno body ya mkopo isiwe taabu kikubwa mmeelewa si ndiyo msaidieni
 
Back
Top Bottom